Chief Navigator
Member
- Sep 3, 2017
- 27
- 41
Kiukweli mi naikubali hii gari, kwanza mwonekano wake ni Luxury halafu pia iko tough kwa masafa marefu.
Wadau mnasemaje kuhusiana na mambo ya kiufundi, ubora, bei, na mengine mengi juu ya hii gari?
Wadau mnasemaje kuhusiana na mambo ya kiufundi, ubora, bei, na mengine mengi juu ya hii gari?