huyu mtu hata sio muuzaji , mnajisumbua tuu bure, mi nimeenda mpaka pale africasana hapokei simu , baadae anasema mara hana ufunguo , kesho yake akanambia atanitafuta nilipo aje ubungo , lakini akipigiwa simu hapokei ... nawashauri , mnaonunua pikipiki , plz dont try this , ina mashaka mengi n u...