Nini cha kufanya, nimeibiwa simu Samsung S6

Nini cha kufanya, nimeibiwa simu Samsung S6

Wengi wetu hatutunzi IMEA number , kama unayo nenda kwa kampuni ya simu husika , kama huna omboleza then nunua ingine....
Tunza IMEA number somewhere huwa inapatikana chini ya betri au kwa kupiga *#06#
 
Seriously mkuu,TCRA ndio wakifunga IMEI hauwezi ku access mtandao wowote kwa wakati huo lakini ukipiga kwenye mtandao husika kuifunga itachukua mda hadi zaidi ya masaa 24 ndio TCRA wapate Hiyo block automatic.
Mi nina simu yangu iliibiwa, Imei yake ninayo. Ila wangeruhusu kujua Mobile No inayotumika currently ingedhibiti wizi. Nitajaribu kuweka post na kuwakopi TCRA
 
Back
Top Bottom