Kweli ww unavuta bangi unayemjibu hakukusema ww alimwambia mtoa uzi ww umekurupuka na bangi zako mbich kwa hii tabia yako idara ya afya hufai hufai utaua watu unafaa ufundi umeme ili ukikurupuka tu upigwe shotkuuliza si ujinga bali ni kutaka kujua.
niwe nmevuta bangi sijavuta ww haikuhusu.
uungwana ni kitu cha kawaida sana ckutumia lugha mbovu wakat naandika hayo
isingekwepo hyo kozi ya afya nazan nisingepata hata hyo kozi ya clinical medicine last year.
tuwe wastaarabu jamani kwa staili hii kweli mwingine anaweza kukusaidia ww ukiwa na tatzo wakat ulishamtolea lugha mbaya.
ok its fine najua binadamu wote tunamapungufu ila tumezidiana sana
habari zenu ndugu.
mm nmemaliza form 4 2014 na kupata credit ya 2.4
niliapply chuo cha afya mwaka uliopita na nkapangiwa st aggre kusoma clinical medicine ila tokana na matatzo ya kifamilia ckuweza kwenda.
matokeo yangu ni kama yafuatayo
kemia- C
biolojia-C
fizikia-C
math-E
history-B
english-B
kiswahili-B
geography-C
civics-C
je naweza pata chuo cha afya kwa huu mwaka?
Ndio, tuma maombi haraka kupia nacte kabla ya 31/5habari zenu ndugu.
mm nmemaliza form 4 2014 na kupata credit ya 2.4
niliapply chuo cha afya mwaka uliopita na nkapangiwa st aggre kusoma clinical medicine ila tokana na matatzo ya kifamilia ckuweza kwenda.
matokeo yangu ni kama yafuatayo
kemia- C
biolojia-C
fizikia-C
math-E
history-B
english-B
kiswahili-B
geography-C
civics-C
je naweza pata chuo cha afya kwa huu mwaka?
wadogo zangu mnaotaka kujiunga na vyuo vya afya mniulize nitawa saidhaa