chief mtwe
Member
- Dec 10, 2013
- 95
- 11
Kiwanja kipo kigamboni maeneo ya " kwa Pinda"
Bei mil 9
Bei mil 9
Gari inafika hadi kwenye kiwanja? Unaingilia mikwambe au fun city?Kiwanja kipo kigamboni maeneo ya " kwa Pinda"
Bei mil 9
Gari inafika hadi kwenye kiwanja? Unaingilia mikwambe au fun city?
Chuo cha kilimo cha pinda sikijui kilipo,Mie najua pinda Ana chuo cha ufundi mikwambe,kipo umbali gani kutoka ferry?Kimepimwa, kipo karibu na chuo cha kilimo cha Pinda, gari linafika hadi kwenye kiwanja
kama upo serious na ni kiwanja halali nipem nikichukueKiwanja kipo kigamboni maeneo ya " kwa Pinda"
Bei mil 9
Yaaa ni hicho hicho , ni chuo cha ufundi na kilimo ...... ni kama km 20 hiviChuo cha kilimo cha pinda sikijui kilipo,Mie najua pinda Ana chuo cha ufundi mikwambe,kipo umbali gani kutoka ferry?
Owkey , nimeku PMkama upo serious na ni kiwanja halali nipem nikichukue
Ntakucheck mkuu.Yaaa ni hicho hicho , ni chuo cha ufundi na kilimo ...... ni kama km 20 hivi
okey , karibuNtakucheck mkuu.