Recent content by CHIEF MASALAKULANGWA

  1. C

    Nini cha hatari? Ukataji miti hovyo au mifuko ya plastic?

    Vyote, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maji, ni hatari sana ingawa Serikali yetu inayashughulikia masuala haya kwa stili ya ZIMA MOTO, yaani hadi yalete madhara ndio serikali inastuka na kuanza kuyashughulikia. Nadhani hii SIYO SAWA.
  2. C

    Nusrat Hanje aibwaga CHADEMA Mahakamani kwa hoja

    Sasa hao Wazaramo wanahusika vipi hapa au ni ule mwendelezo wa kukosa HOJA na kisha kuibuka na vihoja na upuuzi wa ukabila humu JF?! Mjibu kuhusu huyo aliyewabwaga huko Mahakamani sasa!
  3. C

    Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

    Sawa. Tukumbushane tuje tukione wakati wa MASIKA na kujadiliana hiyo bei!
  4. C

    Manyara: Bashungwa amvaa mkandarasi wa stendi ya Katesh

    Huyu waziri awe na tabia ya kuchukua hatua sitahiki mara ubadhirifu unapotokea kwenye eneo la kazi la wizara hii ya OR - TAMISEMI. Kuna ubadhirifu mwingi na mkubwa humo lakini hatua zinazochukuliwa hazieleweki eleweki! Kuna laxicity ya aina fulani ndani ya wizara hii au hata uwepo wa uzembe...
  5. C

    Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    $380!? Ndiyo sawa na Sh.850M/=! Hesabu gani hii!? Basi Tsh, yenu haina nguvu!
  6. C

    Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

    Tuletee tujifunze zaidi na pia tuhamasike kuingia kwenye sekta hii. In fact binafsi nataka nijifunze kutoka kwa WALIOFANIKIWA! Nasubiri mrejesho wako vidmate! Ubarikiwe.
  7. C

    Freeman Mbowe Kutikisa Sherehe za Ruto

    Hayo ni mawazo yako na muono wako! Kila mtu anayo ya kwake kama ilivyo kwa seriklai mpya ya Dr. Ruto, to them SSH ni Rais wa URT. PERIOD!
  8. C

    Freeman Mbowe Kutikisa Sherehe za Ruto

    HAKUWEPO au wenzangu mlimwona!?
  9. C

    National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    Sawa na mimi bradha Mohamed nimekupa mawazo yangu na sina zaidi. Asante sana na MAPAMBANO YANAENDELEA!
  10. C

    Nchi 25 ikiwemo Kenya zimeanza kutuma wagonjwa kuja kutibiwa Tanzania badala ya India ili kupunguza gharama

    Sawa WB ndiyo chanzo chako cha hiyo taarifa, basi jaribu na vyanzo vingine on the same issue/subject uone wanasema nini! Usiweke maelezo yako kwa kutumia chanzo kimoja, tafuta CGTN au Radio France au hata hao Wachina wenyewe wana data na takwimu gani on the ISSUE. Kwa njia hiyo, UTAKUWA SALAMA!.
  11. C

    Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Hizi sasa ni enzi za upigaji wa mihela yetu kwa kwenda mbele. Unataka hiyo mihela ya sensa ILIWEJE!?
  12. C

    National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    Kaka Mohamed Said, tangu mwanzo nimekiri kuhusu hiyo sheria ya "abbreviations" na ndiyo maana nikazidi kuuliza ili nielewe zaidi; hata hivyo kwani hizo abbreviations za NAMA hazikujipanga!? Hilo ndio swali ili uweze kupata mpangilio mzuri badala ya NEMA unless mlikuwa mnalenga neema!
  13. C

    Nchi 25 ikiwemo Kenya zimeanza kutuma wagonjwa kuja kutibiwa Tanzania badala ya India ili kupunguza gharama

    Na kweli Gaidi Mwenyekigoda na wenzake wangemmalizia huko huko wodini!
  14. C

    Tuongee yajayo: Manzoki anaenda China kulipwa bilioni 1 kwa miezi 6

    Na kweli binafsi nitashangaa kama atakataa hilo "deal la China"; kwani wachezaji wengi wa hizi nchi zetu, wanaangalia HAPA siyo PALE/KULE! Yaani wanaangalia ya sasa na wakati huo wakiburuzwa na hao mameneja wao. Mameneja wao wanataka kamisheni zao tu, BASI. Hawaangalii future ya huyo mchezaji,
  15. C

    Nchi 25 ikiwemo Kenya zimeanza kutuma wagonjwa kuja kutibiwa Tanzania badala ya India ili kupunguza gharama

    Sawa na sasa tuache vitabia tabia vyetu vya kuomba rushwa hata wagomjwa jamani!
Back
Top Bottom