Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana la vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.