MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,574
- 8,907
Ukiangalia Jafo mara zote yuko mbele za Kamera anazungumzia mifuko ya plastic, huwezi msikia anazungumzia ukataji wa miti hapana na hata walio.mtangulia ilikuwa hivyo hivyo.
Inaonekana watendaji wa wizara ya mazingira, kwao inawalipa zaidi wanavyo dili na mifuko ya plastic kuliko ukataji miti ambao kwanza ndio hatari zaidi.
Sikatai swala la plastic bag ila ukataji wa miti kwa ajili ya mikaaa na kuni ni hatari zaidi ya nylon ila shida watawala sasa wao ni plastic bag kila kukicha.
Nchi iimekuwa jangwa na wakina Jafo wako bise na nylon.