Recent content by chief iddy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mtu mpambanaji wa kuuza kuku soko la Shekilango, Dar es Salaam

    Habari wanajukwaa mimi ni mjasiriamali ambaye ninafuga kuku wa nyama na nataka kuanza kuuza pia sokoni hasa soko la Shekilango na kwenye restaurants. Kulingana na majukumu imenipasa nitafute msaidizi wa kuuza kuku na kutafuta oda tutalipana kwa commissions yani kadiri anavyouza. Niweke wazi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kabla hujafikiria kumuibia bosi wako fikiria kumuingizia faida kwanza

    Umesema sahihi kabisa ndugu, upigaji na Africa ni kama mama na mwana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    Mkuu mtoto mdogo sana naomba unitafute. Nimekutumia text dm
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    Taikon we jamaa ni hatari Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ibrahimu na mwanae Isaka yalikuaje baada ya lile jaribio la kumchinja kuahirishwa?

    Kwenye uislam aliyetaka kutolewa sadaka ni ismail sio isaka Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Siri na fumbo la kifo (Dini & Sayansi) tukishakufa tunakwenda wapi?

    Logic and point too.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka

    Duka la chakula na vinywaji Duka ndo linaanza Lina miezi kama 6
  8. C

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka

    Kwenye tangazo nimeandika malazi juu yangu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka

    Habari za wakati huu wadau wa jamii forum. Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka. Location: Dar es salaam vikunai. Vigezo: kijana wa kiume Umri miaka 17 mpaka 20 Uaminifu mkubwa Ofa: Malazi na chakula juu yangu Salary: 40000 per month. Duka bado ni jipya hivyo maslahi hayo yanaweza...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

    Jamiiforums inatuelimisha wengi japo pia inachangamoto nyingi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Unahitajika mkopo wa laki tano unarudishwa na riba

    ngumu sanaaaa asee
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina roho mbaya sijapata kuona, Hivi ni mimi tu?

    Umezungumza vizur sanaaa mungu akubariki
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndege yetu ilokamatwa huko SA

    RRRRRRRraaaaaaalalalalalalalalalalslslslslslse3333333r333e3e3333e3ee33e3alww0àqlw0àl4rearwwEEWEEWEaea2rrrreL0EPàl3lllalapapapplpl12lwllewwwwåwppppapapapàpnaannnnnnnnneeeww
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Nimejaribu kukupm I'm not sure kama nimefanikiwa maana cjawah kum-pm mtu before
Back
Top Bottom