wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,417
- 29,085
Nilikuwa nauliza hivi ilivyokamatwa huko iliko kuwa wameizungushia chain kwenye tyre kama bodaboda au wameiwekea nondo mbele au imefungiwa getini kwake au rubani kanyang'anywa funguo na sumatra wa huko kwao?
Naombeni ufafanuzi mwenye kujua[emoji144][emoji144]
Naombeni ufafanuzi mwenye kujua[emoji144][emoji144]