Recent content by CHIBA One

  1. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

    Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza...
  2. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

    Nje ya Mada, mbona App ya jamii forums imebadilika sana napata tabu
  3. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Twende kazi
  4. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kwanini Uhonge mwanamke Mpaka uishiwe?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kwanini Uhonge mwanamke Mpaka uishiwe?

    Maisha yamebadilika sana...tulizoea kuwapa zawadi za pipi, chupi, saa, wapenzi wetu lakini sasa hivi wanataka i phone 15, gari kali, kulipiwa kodi etc Vijana wana stress za maisha, lakini wakati huo huo wana stress za kumantain mahusiano yao, wako tayari wasile ili kuwafurahisha mademu zao...
  6. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Gari yangu nikipark, kwa siku 1 au 2, nikija kuwasha nasikia harufu kali ya petrol ndani na nje ya gari, tatizo nini? Ila nikiitumia mfululizo nikiwasha sisikii hyo harufu, shida ni ikikaa hata siku 1 bila kuitumia, kesho yake ukiiwasha harufu inatoka
  7. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Nahizi ubadili Engine mount mkuu
  8. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    Kivipi
  9. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    Naona umeme ni nchi nzima
  10. CHIBA One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    Tanesco washachukua chao
  11. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

    Ni upuuzi sana wanaume wazima kulala chumba kimoja, hii ni mentality ya kipuuzi sana, mnabambianaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio?
  12. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Sasa world vision kuna kipi cha maana Bro? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom