Police wetu bado wanasafari ndefu sana kwa upande Wa intelligence department kwakweli haiwezekani tangu tumeanza kusikia mauwaji ya kibiti na bado yanaendelea na pia hatujuh yatatufikisha wapi wananchi. Then kwa intelligence yenu inaoneka imefika mwisho kwa kuwaambia wananchi mwisho Wa kutembea...
Haya kachukue buk7 yako ya lunch tuache na fisadi wetu mpaka ikulu. Jitaihid kubuni majungu mengi zimebaki siku chache buk 7 hazitakuwepo tena mchumia tumbo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.