Hii imeshawahi kunikuta siku moja tupo na shoga yangu kituo cha daladala tunasubiria daladala ije tupande tumesubiri sana kama lisaa limoja hamna gari pembeni yetu yupo mzee mmoja amebeba mkoba wake umechakachakaa tukaanza kumsema kipare mimi na huyo shogaangu tukamsema sana mara daladala ikaja...
Wapo wanaofanya hivyo mmoja wapo ni mdogoangu hakumbuki chochote kuhusu wazazi wake na hata ikitokea likizo akaamua kuja nyumbani hawa bebei wazazi wake zawadi yoyote ile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.