Hapo utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia shauri yako. Inahidi ukaanae angalau miezi miwili uwe na uhakika kuwa mtoto ni wakoNakuwa nae kipindi cha hatari tu,baada ya hapo kila mtu anaendelea na maisha yake!
Haha mkuu,mimi kuishi na mwanamke nahisi siwezi, siwezi kuingiwa kirahisi,mi ni baharia mzoefuNgoja aje mwanamke kwa gia hiyo halafu tuje kuona uzi wa kumuoa hapa hapa.
Japo kwa bahati mbaya wanawake hawana hulka ya kushirikiana kuunda kamati za roho mbaya kama sisi wanaume ili kuhakikisha jombaa anatengua hiyo kauli na kutangaza ndoa chap.
Unafahamu msemo unaosema "Hakuna mkate mgumu mbele ya chai"Haha mkuu,mimi kuishi na mwanamke nahisi siwezi, siwezi kuingiwa kirahisi,mi ni baharia mzoefu
nimefiria sana mkuu,ni jambo la kawaida naweza kuwa nampeleka wanaonana ila anakuwa hana say kuhusu mtoto!Unaweza fanikiwa na kutimiza lengo lako lakini vipi je umefikiri kuhusu mtoto, maisha ya kukaa bila mama yake na kupata malezi na upendo wake baada ya hio miaka miwili
Sawa mkuu, kila la heri.nafahamu sana mkuu,nimejipanga
Heee! kwanini na wakati yeye ndio mama?nimefiria sana mkuu,ni jambo la kawaida naweza kuwa nampeleka wanaonana ila anakuwa hana say kuhusu mtoto!
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua kila la heri mkuunimefiria sana mkuu,ni jambo la kawaida naweza kuwa nampeleka wanaonana ila anakuwa hana say kuhusu mtoto!
Weka dau public tuvutiwe oohBado sijapata mtu PM,This is serious ndugu zangu wasichana.Naendelea kusubili
FursaWeka dau public tuvutiwe ooh
Tulia😂Fursa