Recent content by Checnoris

  1. Checnoris

    Naunga mkono wazo la Mtoto wa Museveni, Afrika Mashariki iwe nchi moja

    Congo aisee wacha kabisa.. m23 watafika dsm
  2. Checnoris

    IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Mbasha alivyochapiwa aliumia sana Inauma asikuambie mtu seuz kuchapiwa na dogo
  3. Checnoris

    Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  4. Checnoris

    Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
  5. Checnoris

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Uzi wa kibwege Sana huu. Umejenga unajilaumu nini Sasa Kerege ya 21 si ya 25 bana acha urofa
  6. Checnoris

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkuu wamejitahid Sana kumzuia
  7. Checnoris

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawa washabiki ni mapupu sana
  8. Checnoris

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia...
  9. Checnoris

    Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
  10. Checnoris

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Rashford ni mpumbavi Sana huwaga simkubaki kabisa. Hallad anakwenda kusaidia chini juu yeye kakalisha matacore yake mbele
  11. Checnoris

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Toa upuuzi wako hapa
Back
Top Bottom