Recent content by chebicho

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Maendeleo sidhani na ndio maana kastopisha ajira sasa ni mwendo wa kupambana na Ukuta tu, hajui kama aliahidi tz ya viwanda kila siku vinaibuliwa vitu hewa tu na sitoshangaa hadi wananchi nao wakaja kuitwa wananchi hewa sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
  2. C

    JamiiForums Tanzania TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

    Kuzima simu feki tu zimewashinda ndo wataweza hili?? Huo ni muendelezo wa episodes tu tushazoea hayo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Muumini auawa na mchungaji

    Hawa walokole hawana lolote wanataka kuwamaliza ndugu zetu tu, sasa ilikuwaje mpaka kaamua kumuwekea spika kubwa kama hilo makusudi tumboni
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lipumba amgeuka Magufuli, amlipua kwa unafiki juu ya kupambana na ufisadi

    Lipumba yupo sahihi sana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Hakuna la maana hapo zaidi ya filamu tu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wanamshangilia lakini wana mashaka!

    Sasa kula na kulala je atawadumia yeye???? Kuna mahitaji muhimu ya binadamu kwanza ndo aseme hayo atayabeba na sio kusema atawasomesha bure ktk shule zilizojaa madawati ila walimu hakuna
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama ajira mpya hazipo serikali iweke wazi

    Mm naona wapinzani wangeanzia hapa ktk hili la ajira kulipigia kelele ndo wangepata kiki kweli na wangeungwa mkono karibia nchi nzima
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa tafsiri mpya ya neno demokrasia!

    haina jinsi itabidi wanafunzi waichukue na wakaijibie mitihani shuleni na mpaka Necta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa kushangaza! Wizara yenye jengo lake yenyewe ni ya Utalii na Maliasili tu

    Atauza hiyo hiyo mpingo house[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo Mwanza kuhusu ajira amesema uhakiki bado unaendelea, usitegemee ajira serikalini

    Daah amakweli sisi tuliompigia kura huyu inapaswa tulaumiwe duuuh sasa hizi ajira c ndo zinawasaidia watoto wa masikini jamani daaah hawa jamaa wawe na huruma bhana hii nchi ni ya watu wote na sio ya watu Fulani yani inatia hasira mpaka basi yani
  11. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    Mm naona kama kampeni zimerudi tena saaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. C

    JamiiForums Tanzania FIESTA: Hii haikubaliki!

    Sio usahili , huo unaofanyika ni usajili
  13. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania msipopambana na Nape, mtaishia kuandika habari za CCM tu

    Hayo magazeti ya kusifu ccm tu hatununui afu tuwaone wanunue Lumumba peke yao
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi sita watimuliwa shuleni baada ya kukutwa kwenye danguro wakifanya ngono

    Hapo sijaona walicho solve hapo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mo anajenga klabu, Manji anatafuta sifa na manufaa

    Naona yule bundi wa migogoro na kugombana akihamia yanga safari hii, kweli haya mambo ni kwa zamu na sasa ni zamu yao, manji mjanja sana amefanya vile baada ya kuona Dangote anaitaka ile timu ndo maana akaamua ajilodishe fasta fasta
Back
Top Bottom