Recent content by CHEBEPE

  1. C

    JamiiForums Tanzania Duka la rejareja linauzwa

    Bado lipo? Naishi bonyokwa...ni kama nimepita pale silioni kama
  2. C

    JamiiForums Tanzania Duka la rejareja linauzwa

    Kwanini unauza mkuu? Tusainiane uwe unapata kidogo kila mwezi kama laki 5 kila mwezi. Kodi bei gani kwa mwezi?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Madereva wa IT na kampuni za kutoa magari!

    Mtoa post kapata comment moja tu ya maana...zingine ni experience speed za dreva IT
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Movie nzuri zenye mafunzo na zile za Action

    Utanicheki whasap 0754734009 ili unipe movie..hiyo ya quite place na nyingine ya Action ambayo hakuna kulala
  5. C

    JamiiForums Tanzania KARIBU "IPILIMO TUAGIZE MAGARI"

    Hii ni kwa wale wanaopenda Kuagiza Gari kutoka nje kutumia mawakala wenye "Exposure" ya kutosha na Uaminifu ktk Mchakato mzima wa Kuagiza na kukabidhiwa Gari. Tumeanza May, 2017 na tunaendelea, changamoto zimetuimarisha na tunasonga mbele kwa ushindi na maarifa zaidi... Bei halisi na nafuu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wekeza pesa kidogo kidogo upate gari ya ndoto yako

    Wewe ni Muongo....biashara ya IMPORT ZIPOM..SIO KILA MTU ANAYETAKA GARI KUAGIZA ANA SMART PHONE NA HATA AKIWA NAYO SI KILA MTU ANAJUA PROCEDURES ZOTE ZA KUAGIZA MAGARI NJE...NA KUAGIZA MAGARI SIO RAHIS KIHIVYO KWA KILA MTU...KAMA WEWE UNAWEZA SIO WOTE...AU UNATAKA ASIYEWEZA ASIAGIZE AU AKUFATE...
  7. C

    JamiiForums Tanzania TUNAZIDI ....AGIZA NASI GARI YAKO

    IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS kupitia Ipilimo Tuagize Magari....tumetimiza mwaka mmoja sasa tangu tuanze biashara ya IMPORT AGENCY SERVICES. Tumeweza kushirikiana vema na SBT JAPAN Kuwaagizia Wateja wetu zaidi ya 24, Magari mazuri na bei nzuri. SILAHA YETU ni Uaminifu, kujali mda, kujali bei...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Hii tabia ya kukopa na kutorudisha kwa makusudi na kisha kujidai eti tu hujawarudishia ni tabia ya watu wapumbavu na maskini wa akili. Kopa rudisha ili kesho ukope tena au wenzio nao wakope. Acha majisifu ya kijinga , na unakuja na majivuno huku kwenye platform ya Great thinkers!!! Is this how...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta marketing officer - salary laki mbili - Mwanza

    Duh ukifatilia comment za humu kuhusu hiyo Post, hakika ni shule kwa watafuta kazi na watoa kazi. Kuna mengi ya kuzingatia kipindi hiki ambacho uchumi ni mgumu unless....mtoa post budget yake haiendani na position na majukumu ya kazi husika, but pengine uchumi ndo huo umebana...maana yake...
  10. C

    JamiiForums Tanzania MARK II GX 100: TSH 3.7ML

    Ama kweli, kua uyaone... Binadamu anaweza kuwa na akili mbovu kuliko hata chura.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nataka propera complete la honda crv 1998.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Exhaust System ya Honda CR-V 1998

    Nenda sweetcorner tandale kuna jamaa wamevunja honda crv za kutosha. Na wala si tatizo kuzipata. Mpigie huyu muulize kama anayo.. Alichinja honda crv 0674016629
  13. C

    JamiiForums Tanzania MARK II GX 100: TSH 3.7ML

    1980cc
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Tala hawakopeshi tena nadhani changamoto ya wasio rejesha imekuwa kubwa.. On other hand wakopaji wabaya ndio adui wa wakopaji waaminifu. Vimkopo hivyo vinasaidiaga sana, sasa unakuta kuna baadhi ya watu wakiona njia hizi rahisi za kukopesheka japo vijisent basi wao wanakimbia na madeni hayo kama...
  15. C

    JamiiForums Tanzania MARK II GX 100: TSH 3.7ML

    So umeongopewa na nani?
Back
Top Bottom