Mkuu niuzie huo mzani..nakupa 50 uniletee kesho nakupa na nauli ya kuuleta elf 5.
Huo mzani sh ngapi dukani ?
Huwa inauzwa 150
Mimi nipo Dar mkuu..iringa mbali sana...!!Una shida kweli na mzani mkuu,ninao kama huo mpyaaa kabisa,upo iringa town kama una mtu huku tuwasiline nikuuzie
Acha uongo mkuu..huo mzani bei halisi hauzidi elf 80. Kariakoo shimoni hiyo ipo kibao..kumbuka hiyo mizani hawaruhusu kuuzia bidhaa za rejareja. Mizani inayoruhusiwa ni hii hapa..Huwa inauzwa 150
Acha uongo mkuu..huo mzani bei halisi hauzidi elf 80. Kariakoo shimoni hiyo ipo kibao..kumbuka hiyo mizani hawaruhusu kuuzia bidhaa za rejareja. Mizani inayoruhusiwa ni hii hapa..View attachment 1206308
Ule mwingine kazi yake ni kuuzia nini mkuu
Kwa Mimi nilivyomuelewa kwamba ule mzani mwingine ni kwa ajili ya kuuzia nafaka kwa jumla na sio kupimia kilo moja moja.Ule mwingine kazi yake ni kuuzia nini mkuu
Wewe ndo muongo. Au mzani wa mleta mada hujauona vizuriAcha uongo mkuu..huo mzani bei halisi hauzidi elf 80. Kariakoo shimoni hiyo ipo kibao..kumbuka hiyo mizani hawaruhusu kuuzia bidhaa za rejareja. Mizani inayoruhusiwa ni hii hapa..View attachment 1206308
Kwa siku mauzo ni bei ganiLipo Kimara mwisho (Tanesco stand ya bonyokwa)
Bei M 3.5
Bei inajumuisha Bidhaa zote zilizo dukani, mizani ya kupimia nafaka, kodi ya frem inayoisha January, Friji kubwa inayofanya kazi.
Mawasiliano. PMView attachment 1205401View attachment 1205405