IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS kupitia Ipilimo Tuagize Magari....tumetimiza mwaka mmoja sasa tangu tuanze biashara ya IMPORT AGENCY SERVICES.
Tumeweza kushirikiana vema na SBT JAPAN Kuwaagizia Wateja wetu zaidi ya 24, Magari mazuri na bei nzuri.
SILAHA YETU ni Uaminifu, kujali mda, kujali bei nafuu, kuwa karibu na mteja ktk kipindi chote cha zoezi mpaka kumkabidhi mteja wetu.
Tunakukaribisha nawe, hasa ukiwa na uhitaji wa Kuagiza Gari kutoka nje na ungependa utupatie kazi hiyo. Hatuna gharama ya ziada, zaidi ya kukuwezesha kuagiza gari yako kwa kufanya mchakato wote mpaka kukukabidhi gari na hata kuletewa ulipo nje ya Dsm.
Tuchek ofisini KIMARA MWISHO...DSM
AU SIMU 0754734009(WHASAP).