Hii ni kwa wale wanaopenda Kuagiza Gari kutoka nje kutumia mawakala wenye "Exposure" ya kutosha na Uaminifu ktk Mchakato mzima wa Kuagiza na kukabidhiwa Gari. Tumeanza May, 2017 na tunaendelea, changamoto zimetuimarisha na tunasonga mbele kwa ushindi na maarifa zaidi... Bei halisi na nafuu, uwazi na uwajibikaji, mfumo mzuri wa malipo na NA TUNA MAHUSIANO MAZURI NA "CAR EXPORTERS" WALIOPO JAPAN.
Karibu tujadili na tuone uwezekano...Ofisi imesajiliwa na tunapatikana Kimara mwisho..Dsm. Hivi karibuni tunafungua ofisi ya pili mjini Makambako..Njombe region.
0754734009
Karibu tujadili na tuone uwezekano...Ofisi imesajiliwa na tunapatikana Kimara mwisho..Dsm. Hivi karibuni tunafungua ofisi ya pili mjini Makambako..Njombe region.
0754734009