Madereva wa IT na kampuni za kutoa magari!

M

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Messages
139
Points
195
M

Mteule halisi

Senior Member
Joined Oct 21, 2014
139 195
Habari zenu!

Kwa wale agents wa kutoa magari pamoja na madereva wanao safirisha magari, napenda kuomba nafasi kama itapatikana kusafiri na dereva kama msaidizi wake ili nipate uzoefu kwenye kazi hiyo, pia wale agents kama mna connetion na hao madereva pia mnaweza kuniunganisha nao ili nipate uzoefu wa kazi, nitangulize shukrani kwa wote mtakaotoa ushirikiano katika hili. Ahsanteni!
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,328
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,328 2,000
Nenda mbezi mwisho kimara kule baada ya kituo cha mabus kwa mbele kuna kituo cha dala dala utakuta vijana pale wanasimamishaga magari ili abiria wapande kwenda mikoani kwenye hizi IT pale kituoni yupo kijana mmoja mfupi hivi jina Jabiri ukifika pale utamuona yeye ndio kama mwenye kijiwe ongea naye yule mpiga debe pale uyo kijana asilimia 90 ya madereva wa IT anawajua so connection inaweza anzia pale

Nenda na elfu ishirini tu mwambie miye kijana mwenzio naitaji connection na hawa watu tunafanyaje, atakupa A, B, C hana roho mbaya uyo kijana maderealva wa IT njia ya tunduma na Rwanda anawajua karibu wote anamjua sema kijana karidhika na kupiga debe pale
 
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
489
Points
980
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
489 980
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!

Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
 
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,211
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,211 2,000
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!

Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
 
Norton82

Norton82

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
641
Points
1,000
Norton82

Norton82

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
641 1,000
dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
😄😄😄😄
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,058
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,058 2,000
kawaida hizo yaani yeye yuko comfortable kabisa speed kama jet fighter iko hewan, kitu kinakimbia hatari matuta anafukia mnarukia mbali huko. aiseee unaweza kutapika mihogo yako, ila mm napenda zile speed za kibabe.
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!

Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
 
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,919
Points
2,000
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,919 2,000
noma sana

sijawahi pata experience ya hizi IT

siku moja ntasafiri nazo nishuudie ase but me ni mdau mzuri wa speed 180
Jiandai kuendesha gari kwa seed ya B 52, jamaa wanakimbia sijawahi kuona, nilipanda IT Dar to Dom nilijuta kwann nilipanda lile gari, ilikuwa Toyota wish kama sijakosea kuandika, tulitoka dar saa moja km na nusu usiku kwenye saa sita kasoro usiku jamaa ananishusha Afro Oil tng siku hiyo niliampa kutopanda hayo magari!

Jamaa wanakimbia sn, overtaking za hapa na hapa, anaendesha gari upande wa barabara usiowake mara wanapigiana simu za wenzake kujua wamefika wapi? Aise nilihisi roho inataka kutoka! Mara anatuma msg Mara ana search majina kwenye phone book nikasema Mungu wng nimejosea nn! Shortly alikuwa anaendesha mpk speed 160 km nitakuwa sikuwa nime overlook
 
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
489
Points
980
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
489 980
dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
Haaa haaa dah Mkuu umenichekesha sana, hawa jamaa ni noma sn
 
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
489
Points
980
nipekidogo

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
489 980
kawaida hizo yaani yeye yuko comfortable kabisa speed kama jet fighter iko hewan, kitu kinakimbia hatari matuta anafukia mnarukia mbali huko. aiseee unaweza kutapika mihogo yako, ila mm napenda zile speed za kibabe.
Mkuu unazipenda tena zile speed!? Dohhh mimi sasa hv nikikosa kuoanda basi nitaahirisha nisafiri siku inayofuatia
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
2,086
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
2,086 2,000
dah bora wewe mi nlipandaga gari ya magazeti yani ndani ya saa 1 na nusu tupo dar nilivyofika tu nashuka kwenye gar naona nyota nyota jamaa wakawa wananicheka tu dakika mbili wakapotea maana walikuwa wanaenda iringa.kilichofuata hapo nikutafuta mskiti ulipo ili nikashukuru japo ilikuwa saa 6 usiku
Dah hatar sana Hadi umetafuta msikiti kwa ajili ya dua
 
Adimu

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
548
Points
225
Adimu

Adimu

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2013
548 225
Shukrani
Nenda mbezi mwisho kimara kule baada ya kituo cha mabus kwa mbele kuna kituo cha dala dala utakuta vijana pale wanasimamishaga magari ili abiria wapande kwenda mikoani kwenye hizi IT pale kituoni yupo kijana mmoja mfupi hivi jina Jabiri ukifika pale utamuona yeye ndio kama mwenye kijiwe ongea naye yule mpiga debe pale uyo kijana asilimia 90 ya madereva wa IT anawajua so connection inaweza anzia pale

Nenda na elfu ishirini tu mwambie miye kijana mwenzio naitaji connection na hawa watu tunafanyaje, atakupa A, B, C hana roho mbaya uyo kijana maderealva wa IT njia ya tunduma na Rwanda anawajua karibu wote anamjua sema kijana karidhika na kupiga debe pale
 
Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,714
Top