Natafuta marketing officer - salary laki mbili - Mwanza

Yaani daily na weekly targets kwa mshahara wa laki mbili ? kuna commision ? usafiri na housing au....kama huwezi kuwekeza tafuta Agent tu Marketing officer sio kiulani hivyo
 
Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)

2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
mzee cha kwanza wewe ndo haupo serious...yani mtu unaemtegemea akukuzie kampuni eti alipwe 200k??!! af et marketing officer
 
Off
Hili tangazo limenichekesha kweli jinsi alivyolinadi kwa mbwembwe.
Eti anataka mtu confident na smart.
Mtu smart gani atakayekubali umlipe laki 2.
Mshahara wa laki 2 hata machinga hawezi kukubali.
Halaf Ni bora Hilo title la marketing officer ungebadilisha uandike marketing casual laborer.
Officer umlipe laki 2 kweli?
[/QUOTEOfficer unataka alipwe tshs ngapi?

Mm naona kasema uwezo wake
 
Duh ukifatilia comment za humu kuhusu hiyo Post, hakika ni shule kwa watafuta kazi na watoa kazi. Kuna mengi ya kuzingatia kipindi hiki ambacho uchumi ni mgumu unless....mtoa post budget yake haiendani na position na majukumu ya kazi husika, but pengine uchumi ndo huo umebana...maana yake mwajiliwa itabidi akue na kampuni...kitu ambacho watafuta ajira wengi hawataki na sio hulka ya wengi...wengi wanataka ajira zenye mshahara mkubwa au wastani ilihali mwajiri ni mchanga kiuchumi na kiutendaji...sasa afanyeje,?? there is a way to go....mwenye kampuni jitahidi kutafuta simple and effective means to locating different markets..otherwise kutangaza ajira humu unadhaniwa umejipanga kiuwekezaji!
 
Wabongo nuksi sana! Yuko tayari akae nyumbani na vyeti vyake kuliko kupata chochote kitu! Anyway.....Watakuja Pm kimya kimya, hapa acha wajifanye wanataka laki 5-9 kwa mwezi
 
Hakika nakwambia, mtu yeyote smart ameshamtafuta huyu bwana. Kwamjanja hii inaweza kuwa opportunity, kama sina kazi na nina vigezo hivyo na nismart ningechamtafuta ili nitafiti kama kuna potential kubwa kwenye kazi husika... Huenda hata mkafikia makubaliano askulipe mshahara.
Duh ukifatilia comment za humu kuhusu hiyo Post, hakika ni shule kwa watafuta kazi na watoa kazi. Kuna mengi ya kuzingatia kipindi hiki ambacho uchumi ni mgumu unless....mtoa post budget yake haiendani na position na majukumu ya kazi husika, but pengine uchumi ndo huo umebana...maana yake mwajiliwa itabidi akue na kampuni...kitu ambacho watafuta ajira wengi hawataki na sio hulka ya wengi...wengi wanataka ajira zenye mshahara mkubwa au wastani ilihali mwajiri ni mchanga kiuchumi na kiutendaji...sasa afanyeje,?? there is a way to go....mwenye kampuni jitahidi kutafuta simple and effective means to locating different markets..otherwise kutangaza ajira humu unadhaniwa umejipanga kiuwekezaji!
 
"Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu"

Una sifa hizo hapo na unajianimini kabisa unazo halafu unaruhus mwingine kukutumia. Huo ni utumwa.

Kwa mtu mwenye sifa hizo hiyo laki mbili una uwezo wa kuiingiza kwa siku, ila kama ndo wale wakuweka sifa hizo kwenye cv yako ila deepdown unajijua huna hizo sifa, nenda kafanye kazi usikae nyumbani.
 
Back
Top Bottom