Recent content by Chazy Mazela

  1. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Maonyesho makubwa ya kijeshi huko Korea Kaskazini, dadadeki

    Anajilinda jamani maana hata wew ukiwa kwako uckubali kutishiwa,so dogo anaonyesha ujasiri japo uwezo ndo kama hivyo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Maonyesho makubwa ya kijeshi huko Korea Kaskazini, dadadeki

    Ukitaka kuruka agana na nyonga,pia dogo anatikisa kbiliti ajue kama kuna njiti,,,huenda anaweza kuzchapa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuokoa kuzama kwa Jahazi Bongo Movies?

    Watoe movie zenye ubora,maana watu washafungua macho ni bora MTU akaangalie series kuliko wanachowasilisha hawa kina bongosiasa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

    Pia unasoma sanaaa then hauko serious, so unakua kama unasoma bango
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

    Punguza mzigo wa mambo unayoyawaza
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

    Yangu macho Ila,cdhani kama mkuu kafanya hili bila yakuwa na 7bu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wasomi na matajiri wana vibamia?

    Kibamia sio taabu,insu utendaji kazi vipi?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Mama yangu kila wakat amekua akinisstiza kwamba nkiona jambo ntafakali na si kukulupuka,hivyo bhas haya mambo tusiende nayo pupa coz unaweza kupata ambacho hukurarajia ukaishia kujilaum....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tuhamie halotel

    Uchumi ndugu yangu,ukichek bum bado ctory
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tuhamie halotel

    Hawa jamaa,Leo wameniacha njia panda maana bundle la chuo nmepewa MB 500 tu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tuhamie halotel

    Ebhanaeee ,yani nimeishiwa pozi nahama mm
  12. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kisiwa cha maendeleo na mafanikio kwa vijana

    Uko vzr kiongozi,umenipunguza ujimga
  13. C

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Cku zote mfa maji haishi kutapatapa,haya majambo tuliyakuta na tutayaacha so mm yangu macho naomba umri mref ili nijue mwaafaka
Back
Top Bottom