Recent content by chavdy

  1. chavdy

    Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    hii ni miujiza mkuu[emoji23][emoji23] (watu wanatembelea miujiza)
  2. chavdy

    Nimeamua kuwafukuza wageni wawili nimebaki na wawili, kuna ubaya?

    Pia ungeweza kuwa ambia hali yako halisi bila kuwafukuza yawezekana wangetoa mchango kidogo wa hela au chakula kuongezea kwenye bajeti yenu na kuendelea kufurahia kwa pamoja kuliko kuwaondoa moja kwa moja. Undugu ni kusaidiana pia!
  3. chavdy

    Jinsi ya kumwambia mke wangu avae cheni kiunoni

    [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Yawezekana kweli una mapepo ila kwann usiokoke tu ukaenda nae sambamba? Unamkatia mikato ya kidini mpaka akuelewe na kuelewa somo
  4. chavdy

    Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

    Ninavyo faham ukiwa na kadi ya gold unaweza toa mpaka milion tatu ATM kwa siku moja na ukiwa na kadi ya platinum unaweza toa zaidi ya milioni tatu. Inategemea na kadi alio kuwa anatumia na kiwango cha pesa alicho nacho kwenye bank a/c yake ili kupewa hizo kadi nilizo ainisha hapo mwanzo. Na...
  5. chavdy

    Nitangulize heshma kwenu Jaman naomben kujua jina la hii movie

    journey to west conquering
  6. chavdy

    Hii tabia wanaume wengi wanayo

    Hahaha!... wanajaribu kupata uhakika wa pesa na wakiingia kufanya biashara jinsi watafaidika na wewe kama mdhamini/mwekezaji wao!
  7. chavdy

    Mtambue kiongozi wa Roma (Julius Caiser) aliyezaa na malikia wa Misri Cleopatra

    Kwenye mabano juu nime quote kutoka kwa mtoa mada...kwenye post #41 kajibu caeser alipo toa hilo kalenda yake. Dunia inazunguka jua siku 365.25(nikimaanisha siku 365 masaa 5 dk 48 na sec 56) kutokana na sayansi ya unajimu. kalenda ya kiislamu ina siku 354 au 355 hii iliwekwa kuset matukio ya...
  8. chavdy

    Mtambue kiongozi wa Roma (Julius Caiser) aliyezaa na malikia wa Misri Cleopatra

    Science ya mzunguko wa siku na majira ilikuwepo na hayo marekebisho ya hiyo kalenda yalikuwa yame- base kutoka kwenye kalenda ya Caesar. Lengo kuu la papa Gregory ilikuwa kubadilisha tarehe ya pasaka na hiyo kalenda yake imetofautiana kidogo tu na ya julius Caesar.
  9. chavdy

    Mtambue kiongozi wa Roma (Julius Caiser) aliyezaa na malikia wa Misri Cleopatra

    "Historia inatuambia kuwa Caiser alikuwa ndiye binadamu wa kwanza kabisa sura yake kuonekana kwenye sarafu za waroma. Katika civilization ya western (ulaya) inamtaja Caiser kama mtu aliyeleta calender ya tarehe kutoka na kuirekebisha kidogo tu kwa kuongeza siku baadhi ya miezi na ndio...
  10. chavdy

    He say "Too early to request money" while insisting me to give him dyudyu at early stage

    kuna mda mwingine huduma inahitajika na malipo yanafanyika kutokana na huduma iliotolewa.
  11. chavdy

    Nikiri wazi: Namfahamu shetani

    mambo ni moto! [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. chavdy

    Navutiwa na Wanawake wengi ila sijui kwanini Kajala haingii Moyoni na Rohoni mwangu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. chavdy

    True Story: Nikapata mpenzi wa ghafla Christmas eve!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....dah! mkuu hiyo chai ya maziwa au?
Back
Top Bottom