Recent content by chatts55

  1. chatts55

    Hii kauli katika hotuba inamaanisha nini mliomsikikiza Rais Magufuli?

    Usitusumbue, Uchaguzi umeisha kauli hii imetamkwa Mara 3 hivyo tegemea uchaguzi mwingine 2035
  2. chatts55

    Hali ya kufanya jambo huku ukihisi tayari umeshalifanya inawatokea na nyie?

    Hali hiyo inanitokea Sana hata sasa hivi na mbaya zaidi inanitokea dakika moja kabla ya kitu halisi hakijatokea
  3. chatts55

    GE2020 Jaji Kaijage na Tume yako na TCRA acheni kufungia Vyombo vya Habari

    Kimbia upesi ofisi za tume kamuwekee pingamizi
  4. chatts55

    Watanzania wazalendo, mgombea wa CHADEMA ametudhalilisha sana, hatufai hata kwa udi na uvumba

    Ni kweli tunalishwa na mabeberu. We consume what we don't produce
  5. chatts55

    Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

    Sisi tunaoruka sarakasi na kubiringika juu kwa juu angani zamu yenu inakaribia pia
  6. chatts55

    Jamani hii kitu ni ndege ama nini

    Hiyo ndege inatembea mda wote huku inamwaga mafuta?
  7. chatts55

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Hili si jambo geni, Mlinzi wa Raisi amekuwa akivaa nguo za CCM toka wakati wa kampeni 2015 kabla hata mjomba hajawa Raisi, ni chuki tu ulizonazo
  8. chatts55

    Huku Bukoba kuna nini? Mbona kuna abiria wengi sana wa ndege?

    Watu 2400 ukiwagawanya kwa siku 31 ni abiria 80 kwa siku
  9. chatts55

    Miaka 2000 inayokuja huenda kizazi cha mtu mweusi kikapotea katika bara la africa

    Ukitaka kujua kama tunapungua ama tunaongezeka sensa iliyopita tulikuwa takribani 45ml,sasa HV inahisiwa kuwa tunakaribia 70ml.
  10. chatts55

    Kuna mabasi hayana kidhibiti mwendo kumbe!!

    Njia ya muongo ni fupi. Hayo mabasi ya shabiby sikuhizi hayana mvuto kwa watu nauli bei juu huduma mbovu hata kamaji tu njiani hawakupi wamekuja wanaojua kuongeza thamani kwenye biashara naona wanaaanza kutapatapa
  11. chatts55

    Uchambuzi wimbo mpya wa Harmonize x Rayvanny.

    Wasanii wanaoongoza kuimba matusi Ni wale wanaotoka arusha
  12. chatts55

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii game imenisumbua kweli iliahirishwa Jana imemaliziwa leo
  13. chatts55

    Killing of Unarmed civilians?

    Uhai unapatikana baada ya vita iwe vya kimwili, kiroho, au kijamii
Back
Top Bottom