Watanzania wazalendo, mgombea wa CHADEMA ametudhalilisha sana, hatufai hata kwa udi na uvumba

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Nashangaa sana kusikia huyu mgombea urais kupitia CHADEMA maneno ya kejeli na dharau kwa taifa lake anayavyoyatoa hadharani dhidi ya Watanzania.

Hajui au hatambui kuwa anatudhalilisha na kututukana hata kampeni hazijaanza?

Mtu na akili zako timamu unaongea na waandishi wa habari unaweza kudiriki kusema taifa lako linapewa chakula na mabeberu.

Yaani bila aibu unasema Tanzania inalishwa na mabeberu! Na wakati huo unategemea watanzania wenye akili timamu wakupigie kura? Kisa hao mabeberu unaowasifia walikupa chakula na hifadhi kwa miaka mitatu pale uliposhambuliwa na wahalifu wasiofahamika?

Je, ulipozunguka kutafuta wadhamini hukuona chakula ambacho watanzania wanazalisha na kujilisha kwa mikono yao? Hukuona mipunga ilivyojazana huko Kagongwa, Kahama? Hukuona Mipunga ilivyojazana huko Igunga?

Wewe mgombea wa CHADEMA ambaye unataka uwe Rais wa JMT hujui kuwa mahindi ya Tanzania yanalisha nchi za jirani kama Kenya, Uganda, South Sudan n.k? Kama hujui hili alafu unatudhalilisha kuwa tunalishwa na mabeberu unadhani nani atakupa kura? Au una mpango gani na mabeberu kutupa chakula wakati tunajilisha wenyewe?

Pia nimesikia unalalama kuwa una kesi za kipuuzi na kijinga ambazo eti serikali ya CCM imekubambikia. Kama ni kesi za kipuuzi na kijinga nenda kazimalize mahakamani acha kubwabwaja mitaani.
 
Acha kuishi kwa kusikia porojo za kwenye kahawa.
Bora za kwenye kagawa kuliko anazopiga hugo chizi kupitia Tbccm
Ipo wapi serikali ya viwanda? Wapo wapi MAFISADI WALIOFUNGWA?
Ipo wapi mikopo ya wanafunzi?
Ziko wapi m 50 kwa kila kijiji?
Ziko wapi Ajira kwa wahitimu wa vyuo?
Wewe ndo unaleta porojo kama za mwenyekiti wako anayepewa majogoo toka ikulu kisha anadanganya kapewa zawadi?
Kisa cha muuza mahindi wa dumila kuwa na SUBSHOT GUN
 
Kwa hiyo wewe unalishwa na mabeberu?
Haya mahindi yanayoitwa unga wa dona ulitolewa bure na serikali ya marekani miaka ya 60 na miaka iliyofuata kwenye matukio ya njaa.
Kama dunia isingekua na mataifa mengine ambayo ni marafiki wanamoishi binadamu kama sisi basi hatungeweza kupata chakula hicho Bure.
Hata hivyo Sijawahi kupewa mchele wa Bure kutoka kwa mtu asiye rafiki.
Tafakari weka Chuki pembeni.

Lisu na wanasiasa wengi Afrika wamedhuriwa na waafrika wenzao wenye roho za kishetani lakini wakapokelewa na Nchi nyingine na kuhifadhiwa.
Au unataka siku Chama kingine kikiingia madarakani kianze kuwaua wanaCCM kwa sababu tu ya tofauti za siasa na unafikiri wataenda kujificha Burundi au China. Watakimbilia Nchi salama ambazo kwa ukweli wanajitahidi kusimamia sheria zao mwenyewe sio kama sisi tunaweka mbele Ukabila na udini.

Hivi kabisa katoliki unaweza kulitaenganisha na Nchi za magharibi au mnasanganya tu wajinga ?
Au uislama uutenganishe na Miaka eti kisa haipo Arusha au Mtwara !

Dunia ni kijiji mana tunashea mambo Mengi ya kiuchumi na kidini na kisiasa.
Mifumo mnayotumia kuteka watu na kukamata kutumia mabunduki ni mifumo ya kibeberu japo wenzetu wanajitahidi kuipiga vita kwa nguvu zote na kuifanya ionekane kuwa ni mifumo ya kinyama.
 
Bora za kwenye kagawa kuliko anazopiga hugo chizi kupitia Tbccm
Ipo wapi serikali ya viwanda? Wapo wapi MAFISADI WALIOFUNGWA?
Ipo wapi mikopo ya wanafunzi?
Ziko wapi m 50 kwa kila kijiji?
Ziko wapi Ajira kwa wahitimu wa vyuo?
Wewe ndo unaleta porojo kama za mwenyekiti wako anayepewa majogoo toka ikulu kisha anadanganya kapewa zawadi?
Kisa cha muuza mahindi wa dumila kuwa na SUBSHOT GUN
Viwanda huvioni? Mil 50 wanakijiji wamezipata kupitia miradi ya maendeleo wala hawafikirii masuala madogo kama hayo. Ajira kwa wahitimu? Unataka kila mtu akimaliza shule aajiriwe? Hata Us hiyo kitu haipo.Hizo habari za majogoo kaongelee kwenye vilabu vya chimpumu.
 
Nashangaa sana kusikia huyu mgombea urais kupitia CHADEMA maneno ya kejeli na dharau kwa taifa lake anayavyoyatoa hadharani dhidi ya Watanzania.

Hajui au hatambui kuwa anatudhalilisha na kututukana hata kampeni hazijaanza?

Mtu na akili zako timamu unaongea na waandishi wa habari unaweza kudiriki kusema taifa lako linapewa chakula na mabeberu.

Yaani bila aibu unasema Tanzania inalishwa na mabeberu! Na wakati huo unategemea watanzania wenye akili timamu wakupigie kura? Kisa hao mabeberu unaowasifia walikupa chakula na hifadhi kwa miaka mitatu pale uliposhambuliwa na wahalifu wasiofahamika?

Je, ulipozunguka kutafuta wadhamini hukuona chakula ambacho watanzania wanazalisha na kujilisha kwa mikono yao? Hukuona mipunga ilivyojazana huko Kagongwa, Kahama? Hukuona Mipunga ilivyojazana huko Igunga?

Wewe mgombea wa CHADEMA ambaye unataka uwe rais wa JMT hujui kuwa mahindi ya Tanzania yanalisha nchi za jirani Kama Kenya, Uganda, South Sudan n.k? Kama hujui hili alafu unatudhalilisha kuwa tunalishwa na mabeberu unadhani nani atakupa kura? Au una mpango gani na mabeberu kutupa chakula wakati tunajilisha wenyewe?

Pia nimesikia unalalama kuwa una kesi za kipuuzi na kijinga ambazo eti serikali ya CCM imekubambikia. Kama ni kesi za kipuuzi na kijinga nenda kazimalize mahakamani acha kubwabwaja mitaani.
HAKUFAI WEWE MWENDAWAZIMU ILA MIMI MWENYE AKILI TIMAMU TUNDU LISU NDIYE ANANIFAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo Maana tunasema Bora Sera ya Ubwabwa kuliko Sera ya kulelewa na Wazungu

Mods hili jukwaa la Siasa sasa sijui mnafuta nini..

IMG-20200825-WA0016.jpeg
 
Nashangaa sana kusikia huyu mgombea urais kupitia CHADEMA maneno ya kejeli na dharau kwa taifa lake anayavyoyatoa hadharani dhidi ya Watanzania.

Hajui au hatambui kuwa anatudhalilisha na kututukana hata kampeni hazijaanza?

Mtu na akili zako timamu unaongea na waandishi wa habari unaweza kudiriki kusema taifa lako linapewa chakula na mabeberu.

Yaani bila aibu unasema Tanzania inalishwa na mabeberu! Na wakati huo unategemea watanzania wenye akili timamu wakupigie kura? Kisa hao mabeberu unaowasifia walikupa chakula na hifadhi kwa miaka mitatu pale uliposhambuliwa na wahalifu wasiofahamika?

Je, ulipozunguka kutafuta wadhamini hukuona chakula ambacho watanzania wanazalisha na kujilisha kwa mikono yao? Hukuona mipunga ilivyojazana huko Kagongwa, Kahama? Hukuona Mipunga ilivyojazana huko Igunga?

Wewe mgombea wa CHADEMA ambaye unataka uwe rais wa JMT hujui kuwa mahindi ya Tanzania yanalisha nchi za jirani Kama Kenya, Uganda, South Sudan n.k? Kama hujui hili alafu unatudhalilisha kuwa tunalishwa na mabeberu unadhani nani atakupa kura? Au una mpango gani na mabeberu kutupa chakula wakati tunajilisha wenyewe?

Pia nimesikia unalalama kuwa una kesi za kipuuzi na kijinga ambazo eti serikali ya CCM imekubambikia. Kama ni kesi za kipuuzi na kijinga nenda kazimalize mahakamani acha kubwabwaja mitaani.
Acha umbumbumbu tulia, hakuna alikotudhalilisha wakati yetu zaidi ya 50% inategemea manlbeberu. Hujui hata historia nchi kalilie ndani huko
 
Tuache siasa kando, mtu kwao.
 
Acha umbumbumbu tulia, hakuna alikotudhalilisha wakati yetu zaidi ya 50% inategemea manlbeberu. Hujui hata historia nchi kalilie ndani huko
Wewe ndio mbumbumbu. Naifahamu Tanzania vizuri haina historia ya kulishwa na mabeberu. Tunalima na chakula kinatosha. Labda utokee ukame kama miaka ya sabini na hatutaki misaada ya mashariti hata kama kuna njaa.
 
Back
Top Bottom