Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kuna taarifa nilikuwa ninaisoma kuna hati hati huenda kizazi cha mtu mweusi au watu weusi kikatoweka barani Africa.....
Hii inatokana na kwamba kati ya mzungu, mchina,mwarabu,mjapani na mwafrica utafiti unaonyesha waafrica wengi tunakufa kwa wingi zaidi kutokana na kukosa huduma bora,njaa,magojwa na ukosefu wa lishe bora, ukosefu wa matibabu bora mahospitalini na kadhalika.
Lakini pia life expectacy ya kmwafrica wa sasa imeshuka hadi inaonyesha miaka 45 ya kuishi tofauti na miaka ya zamani watu waliweza kufika miaka 80 hadi 100
Kwa namna hiyo hali hii na hali inavyoelekea miaka 2000 inayokuja katika bara la Africa mtu mweusi huenda akapoteaaa