Recent content by ChaterMaster

 1. ChaterMaster

  Samatta, Samatta gooooal..!

  Video wap
 2. ChaterMaster

  Majibu baada ya kupima UKIMWI

  We fanya maisha yako..usifikirie huko..
 3. ChaterMaster

  Kero ya Tecno

  Mkuu karibu Nokia Family.. Simu ikipata joto la nje hata la jua kuzid 20C inazima yenyew had uje uiwashe tena.. Hii ni protection syatem imewekwa kuzuia sm kuungua au kuharbka
 4. ChaterMaster

  Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

  Mi nauliza gari kama Isuzu Bighorn au Wizard zinazotumia dizel automatuc Je vp gharama za uendeshaj hasa mafuta na Je vp spear zake znapatikan kirahis.. By the wy gar ya disel na petrol ushaur wako nzur ipi
 5. ChaterMaster

  Wataalamu wa umeme naombeni ushauri wa jambo hili

  1 hp = 746w 35hp = 26110w=26.1kw Aparent Power (kva) =Real Power (w)/0.8=26.1/0,8=33kva 50kva ni kubwa sana , chek ukipata la 35-40kva ilinatosha2
 6. ChaterMaster

  Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

  Mkuu umenena vyema sana hasa ktk eneo la Ulichojifunza - yooote ni ya Kweli Nakutia moyo na ninakuhamasisha Ufanye Biashara/Kazi unayoipenda au mwenye WITO nayo.. Kama ni Kilimo sawa kama ni Kuajiriwa sawa kama ni Biashara sawa , cha msingi uipende na uwe na maarfa nayo kisha usomge mbele...
 7. ChaterMaster

  Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

  Ni kwel kabisa, sabab kubwa ni kuwa watu hawana kazi za kufanya wanategemea mishe za kusikilizia vijiweni, au hata kama wanafanya kazi unakuta hawazipend hawana moraly nazo..waanafanya ilimradi tu..
 8. ChaterMaster

  Nguvu ya saikolojia

  Somo zuri mkuu
 9. ChaterMaster

  KKKT haya mahubiri ya Upendo Tv kuhusu siasa ni msimamo wa kanisa au wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani?

  Kweli kabisa Na sijui kwann amekumbwa na MTEGO huu, wa kutumika kisiasa. Hakuna kitu kitakachomshusha kama hichi..maana hapa anapoteza wasikilizaji wengi sana
Top