Pamoja na kuwa umejitetea kuwa mjumbe auwawi ingebidi upigwe ata makofi kadhaa ili uamke usingizini.
Fact: Ni bora hisa zimilikiwe na watanzania ata kama ni serekali yenyewe sbb faida ya benki miaka nenda miaka rudi inayo tolewa kwa wana hisa na kupelekwa nchi za nje itakuwa inabaki hapa hapa...
Kwa hiyo serekali watakuwa wanaachiana makabila mawili sbb naye ruto anasubiria pia zamu yake baada ya uhuru? Wengine hawataki urais? Even the smallest tribe makonde or ongiek have the right to produce a Kenyan president without bribing another tribe with the country's resources which belong to...
Utashangaa na roho yako yote. Wakenya wameshaamka. Urais utazunguka kwa makabila yote 45 la sivyo nchi itagawanywa vipande 47. Kila county kivyake. Kabila moja imeshikiwa kichwa kukamua ngombe, wameinyonya maziwa yameisha, wamenyonya na damu ngombe amekufa sasa hiyo nyama itagawanywa kwa wote...
Anapewa na nani. Kati ka nchi ya ukabila ya Kenya kabila moja na nusu zitampigia Kenyatta na makabila 142 na nusu wamesha jiandaa kwenda Canaan na Raila. Labda kuna kura zitaletwa na lowasa ambaye ameenda kumuambukiza Kenyatta ugonjwa wa kushindwa uchaguzi. Birds of a feather flock together...
Sasa hivi kila biashara wanajitahidi kulipa kodi na kunyoosha uendeshaji wa kazi ili kuendana na maadili mapya. Nchi inanyooka, viongozi wamekuwa makini balaa, ukitizama kwenye luninga kila kiongozi amekuwa Magufuli kwenye usimamizi, watu wanachapa kazi. Kwa kweli tofauti ni kubwa, serekali...
Mamlaka yote amepewa Yesu naye akatupatia sisi wanadamu. Soma neno, ni wapi umesoma kuwa shetani ana mamlaka? yeye anakuja kuiba, kuuwa na kuangamiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbolea, madawa, bei ya mbegu, labour, gharama za kupeleka sokoni i.e gari litabeba matikiti mangapi kwa bei gani? je ni kilimo cha kutegemea mvua au umwagiliaji? Shamba umekodisha au la kwako? zingatia hayo yote kwenye mahesabu yako. Kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.