Recent content by Charuka

  1. C

    Nccr: Fomu na ilani kutolewa april 2010

    Source; Mwananchi 10th Jan
  2. C

    Jacob Zuma marries again

    one nil in favour of the visiting team
  3. C

    Siri za Siasa; mojawapo ni hii

    Pangekuwa na unafuu kama wangekuwa wanalinda maslahi ya walio nacho wazalendo tu, tatizo wanalinda ya mabwana zao wa kutoka mataifa ya kigeni, ndio maana wakipewa masharti na vyombo kama IMF na World Bank wanayakubali haraka. Ndio maana wawekezaji wa kigeni ndo wameshikiria uchumi wa nchi kwa...
  4. C

    Mzizima - Dar es salaam - Bongo

    Kutoka wikipedia; historia na habari za jiji letu kuu Dar es Salaam (Arabic: دار السلام‎ [translation: "house of Peace"] Dār as-Salām), formerly Mzizima, is the largest city in Tanzania. It is also the country's richest city...
  5. C

    Katiba za vyama Tanzania

    Ting Ting, Sio lazima mwenyekiti ndio agombee urais. Kwa mfano, mwaka 2005 NCCR-Mageuzi mgombea wake wa Urais alikuwa Dr.Sengondo Mvungi; hajawahi kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Kuhusu katiba, hebu tembelea www.nccrmageuzi.or.tz/
  6. C

    Tusker Cup 2009

    Jerry Tegete mfungaji bora Yanga imepewa 40m Sofapaka 20m Simba 10m
  7. C

    Tusker Cup 2009

    sofapaka wanataka kufanya fujo lakini vijana wa FFU wanadhibiti hali wakiwa na lile gari 'kikojozi' tayari tayari. wakati huo huo mwali anawekwa tayari ili mwenye apewe!
  8. C

    Tusker Cup 2009

    yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
  9. C

    Tusker Cup 2009

    2 - 1 Mrisho Ngasa!
  10. C

    Mnyika naye awaita CCM panya

    Ilikuwa siku ile wainzani walipojidai wameungana. ndipo akaulizwa Makamba; wauonaje muungano wa cuf,chadema,nccr, na tlp? akasema; hao ni kama paka wamefungiwa mikia kwa pamoja, wakiwekewa maziwa kila mmoja atajivuta upande wake kuyafukuzia hayo maziwa. Kwani kilienda mbali!, Chacha Wangwe...
  11. C

    Nccr ziarani kigoma

    NCCR yataka wananchi Kigoma wapewe mamlaka ya kujiongoza na Jacob Ruvilo, Kigoma MWENYEKITI wa Chama cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, ameitaka serikali kuwapa wananchi wa mkoa wa Kigoma mamlaka ya kujiongoza ili kujiletea maendeleo kwa kuwa viongozi wote wa awamu nne za utawala nchini...
  12. C

    Kikao cha Halmashauri kuu ya NCCR-Mageuzi

    Source: Habarileo 9th December, 2009 Katika mkutano huo, Halmashauri hiyo ilipitisha majina ya watu walioteuliwa kuongoza Idara mbalimbali za Sekretarieti ya chama hicho ambapo aliyekuwa Ofisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Kafulila, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya...
  13. C

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Siku akitoka (kama hiyo siku ipo) tuta/watakaa chini kujiuliza; hivi kutoka kwake kulianzaanza je? Ndipo wanasayansi ya siasa watakapoibuka na nadharia nyingine kuhusu mambo yasababishayo wanasiasa kutoka au kuama vyama nchini Tanzania. Chanzo hakitakuwa kingine, kuchukua fomu ya ukigoda wa...
  14. C

    Kikao cha Halmashauri kuu ya NCCR-Mageuzi

    Danda amepangiwa kazi katika idara ya Organazesheni, kampeni na uchaguzi, makao makuu ya chama. Kafulila atakuwa katika idara ya habari na uenezi, pale pale makao makuu
  15. C

    Kikao cha Halmashauri kuu ya NCCR-Mageuzi

    Halmashauri kuu ya chama cha NCCR-Mageuzi imemaliza kikao chake cha siku mbili jijini Dar, leo jioni. Katika kikao hicho, wanachama wapya waliohamia kutoka chama kingine walihudhuria kama waalikwa, na habari za uhakika ni kwamba kikao hicho kimeidhinisha kazi maalum walizopewa na Katibu Mkuu...
Back
Top Bottom