Katiba za vyama Tanzania

Katiba za vyama Tanzania

Chi ucheme kabicha "Ukikosoa sisiemu wewe chadema"

heheeee, umeniacha hoi ! lakini ilitakiwa kuwa the other way round !

Mbaya hadi hivi sasa ni kwamba CHADEMA haina vision tegemezi kama chama kusema kwamba waamue kila fulani on their own, hawawezi kwa sababu hawana what it takes to do that, na hawajiamini!

Nafananisha hili na uongozi wa kubahatisha. Leo mbowe anawaponda wenzake kwa kusema wamepachikwa na ccm, kesho yake anaenda kuungana nao. Baadae anasema wapo pale kwa ajili ya matumbo yao, the next thing you know ni kwamba anaungana nao ! Mbaya zaidi ni pale kwa yeye kama mwenyekiti kukataa kulipa mabilioni ya mapesa ya watanzania na kuyatia mfukoni kwake na kusahau kwamba huyu nyuma watanzania tuna shida.

Wow, how sad is this !
 
Ingekuwa heri wachangiaji wote wakajiepusha na ushabiki wa namna fulani, ili kinachojadiliwa kiwe kwa manufaa ya taifa letu na kisaidie pia kuiandika historia kwa usahihi kabisa.

Awali ya yote, nikubaliane na wanaosema kuwa hapajawahi kuwepo muungano kati ya chadema na vyama vingine vya siasa nchini Tanzania. Kilichotokea miaka ya 1995,2000 ni kwamba Chadema waliwaunga mkono wagombea (hususan wa urais) wa vyama vya NCCR Mageuzi na CUF.

Pili kinachoendelea hivi sasa kati ya CHADEMA,CUF,NCCR Mageuzi na TLP ni makubaliano ya ushirikiano wa wa kisiasa na wala si Muungano. Ijulikane pia kwamba, si vyama hivi tu vyenye ushirikiano wa hivyo, vipo na vingine vinne nchini Tanzania vinavyoshirikiana.

Labda miongoni mwa mambo ya msingi ya kujiuliza ni je, ipo haja na faida ya vyama vya siasa kushirikiana? Hapana shaka kutoka katika kona tofauti za kuwaza, hapa jibu laweza kuwa ndio au hapana.

Mnamo mwaka 2001, chama cha NCCR Mageuzi kilifanya utafiti uliolenga kubaini ni namna gani ya kuimarisha mageuzi nchini na kuvifanya vyama vya siasa(hasa vinavyoitwa vya upinzani) viwe na nguvu zaidi. Taarifa ya utafiti huo ilionesha pamoja na mambo mengine, kwamba wananchi wa Tanzania wangependa kuona vyama vya upinzani vikiwa kitu kimoja.

Wapo walioenda mbali na kuwaambia watafiti kwamba vyama viungane, ili pawe na kambi kubwa yenye nguvu sana inayoweza kukikabili chama dola.Wananchi wengine hawakusita kueleza jinsi wanavyochanganywa na watu tofauti tofauti wanaoipinga CCM, tena kwa hoja nzito, ila tatizo wako wengi na wanatokea katika vyama tofauti, kiasi kwamba wanauliza wamsikilize nani na wamchague nani badala ya CCM.

Matokeo ya utafiti huo yalizua somo kwamba, kutoshirikiana kwa kambi ya upinzani ni mojawapo ya sababu za kushindwa katika uchaguzi, uwe mdogo au mkuu, kwa maana kura zao wanazigawana(nasisitiza hiyo sio sababu peke yake ya kushindwa)

Walioelewa somo la utafiti huo wakaanza kuimba nyimbo za tuungane jamani.Lakini wakaja kukumbana na kikwazo cha kikatiba na sheria ya vyama nchini isiyoruhusu viungane kirahisi. Leo hii kwa mfano, kama CHADEMA na CUF waneungana na kuunda chama kimoja cha siasa, papo hapo wabunge wao wote wangepoteza ubunge wao.

Nidokeze pia kwamba wapo wagombea wa urais katika chaguzi kuu zilizopita walioungwa mkono na chama zaidi ya kimoja, lakini tume ya uchaguzi haikuwatambua hivyo, walitambuliwa kwa chama wanakotokea..basi.
Nisisitize hapa kwamba, ni utashi wa wapiga kura wa Tanzania, kwamba vyama vya upinzani viungane, na ni kosa kama havitawasikiliza.

Faida ya kushirikiana kwa vyama ni ipi? zaweza kuwepo faida nyingi, mojawapo ni kwamba ushirikiano wa jinsi hiyo hujenga kuafikina kisiasa ndani ya nchi(kinyume cha kuhasimiana).Aidha ushirikiano wa vyama ni hatua ya awali kuelekea uundaji wa serikali ya umoja wa kitaifa(badala ya kuwa na serikali ya chama kimoja tu)
Mzee mmoja akaniambia,kwa jinsi Simba au Yanga peke yake isivyoweza kuwa timu sahihi ya taifa(Taifa Stars)eti kwa sababu ni bingwa wa ligi kuu, ndivyo ilivyo katika nchi ya vyama vingi,Chama kilichoshinda uchaguzi(ligi kuu) sicho peke yake chenye viongozi bora(wachezaji nyota\mahili) Laiti jukumu kuu la vyama, lingekuwa kuwaandaa viongozi bora, ili kutoka katika vyama hivyo tupate timu bora ya Taifa.

NB
Ndugu Kadampinzani, katiba za vyama tajwa hazifanani,maana kila chama kina taratibu zake mfano za uchaguzi,muundo wa chama, masharti ya uanachama na kadhalika.
 
unadhani CHADEMA kuunganan na wenzao ndio firm decision yao ? maana in the course of 2 years, they made two different choices on one issue ! hawajatulia hata kidogo, na zile kauli za mbowe alizosema kuhusu wapinzani, zinanifanya niamini kwamba he might be a planted candidate as well.

i really can not afford to be here and say i trust CHADEMA under MBOWE because i simply dont trust them !
 
wow! sasa jogoo wote kijijini wakiamua kupinga jua kucha kwa kuamua kutowika, je jua litakucha?
 
KadaMpinzani,

Kwa hakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba una hoja, hata kama wewe ni wa mrengo wa kijani na njano...

Tatizo hapa wale wa mrengo wa bluu, nyeupe, nyekundu na nyeusi kama sikosei wanaona ni dhambi chama chao kujadiliwa hapa... Laiti kama wangalijua kwamba vyama vinavyojadili hapa ni vile vyenye authority kubwa kwenye taifa hili, hivyo watanzania wanapenda wavijue vizuri, vijisahihishe basi wasingekuwa wanatoa maoni ya kiukinzani.

Wangejifunza, wangechuja, wangekubali pale walipokosea, wafanya mambo mazuri zaidi mbeleni.

Lau kama posti zao zitaendelea kuwa za mithili ya kina Asha Abdala na wengine... bila kukemewa na WanaCHADEMA wenyewe... then CHADEMA inazama na Taifa linaendelea kuwa na demokrasia ya vyama vingi iliyokuwa na Tija kwa taifa.

Nasema hivyo kwa kuwa hawa CHADEMA washabiki wasiopokosolewa na CHADEMA wenyewe basi wasomaji watachukulia huo ndio msimamo wa chama chao na hivyo watawadharau na kuwapuuza... hili kamwe halitakuwa jambo jema kwa CHADEMA na TAIFA.

Hoja ya KadaMpinzani inahitaji kujadili kwa mapama kwa manufaa ya Taifa, tena bila kejeli ya aina yoyote ile.

Maana Mambo mengi yametokea kuhusu CHADEMA tangu 1995... hadi sasa, Ikumbukwe kwamba Mtei alivyokataliwa kuwa Mgombea wa Urais 1995, akasema basi hakuna haja ya kuwa na Mgombea kwenye chama chao... Na CHADEMA pale ndipo ilipoanzia kuteleza... Ikimbukwe pia hakuna chama cha Upinzani kiliwahi kuaminika kama chama Halisi cha Upinzani na chenyewe uwezo wa Kuongoza nchi enzi hizo (1995) kama sio CHADEMA. Sera zilikuwa wazi, zinaeleweka, zinatekelezeka.

Na nitawakumbusha sera moja upande wa Elimu... ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ya 1995... ilisema wazi kwamba wangeanzisha chuo kikuu kipya kwa kutumia majengo yaliyojengwa kwa ajili ya Makoa makuu.... CCM imelifanya hili 10yrs after...
 
KadaMpinzani,

Kwa hakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba una hoja, hata kama wewe ni wa mrengo wa kijani na njano...

Tatizo hapa wale wa mrengo wa bluu, nyeupe, nyekundu na nyeusi kama sikosei wanaona ni dhambi chama chao kujadiliwa hapa... Laiti kama wangalijua kwamba vyama vinavyojadili hapa ni vile vyenye authority kubwa kwenye taifa hili, hivyo watanzania wanapenda wavijue vizuri, vijisahihishe basi wasingekuwa wanatoa maoni ya kiukinzani.

Wangejifunza, wangechuja, wangekubali pali walipokosea, wafanya mambo mazuri zaidi mbeleni.

Lau kama posti zao zitaendelea kuwa za mithili ya kina Asha Abdallah na wengine... bila kukemewa na WanaCHADEMA wenyewe... then CHADEMA inazama na Taifa linaendelea kuwa na demokrasia ya vyama vingi iliyokuwa na Tija kwa taifa.

Kemeeni ya kweli. Mkileta upashkuna kama wa kada mpinzani tutawapasha. Kwani kesheshe umesahau nilipowachambua hapa Zitto kabwe na chacha wangwe na hata CHADEMA hapa miezi michache iliyopita? Na Zitto akakubali kujirekebisha!

Hebu acheni ushambenga, jengeni hoja

Asha
 
KadaMpinzani,

Kwa hakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba una hoja, hata kama wewe ni wa mrengo wa kijani na njano...

Tatizo hapa wale wa mrengo wa bluu, nyeupe, nyekundu na nyeusi kama sikosei wanaona ni dhambi chama chao kujadiliwa hapa... Laiti kama wangalijua kwamba vyama vinavyojadili hapa ni vile vyenye authority kubwa kwenye taifa hili, hivyo watanzania wanapenda wavijue vizuri, vijisahihishe basi wasingekuwa wanatoa maoni ya kiukinzani.

Wangejifunza, wangechuja, wangekubali pale walipokosea, wafanya mambo mazuri zaidi mbeleni.

Lau kama posti zao zitaendelea kuwa za mithili ya kina Asha Abdallah na wengine... bila kukemewa na WanaCHADEMA wenyewe... then CHADEMA inazama na Taifa linaendelea kuwa na demokrasia ya vyama vingi iliyokuwa na Tija kwa taifa.

Nasema hivyo kwa kuwa hawa CHADEMA washabiki wasiopokosolewa na CHADEMA wenyewe basi wasomaji watachukulia huo ndio msimamo wa chama chao na hivyo watawadharau na kuwapuuza... hili kamwe halitakuwa jambo jema kwa CHADEMA na TAIFA.

Hoja ya KadaMpinzani inahitaji kujadili kwa mapama kwa manufaa ya Taifa, tena bila kejeli ya aina yoyote ile.

Maana Mambo mengi yametokea kuhusu CHADEMA tangu 1995... hadi sasa, Ikumbukwe kwamba Mtei alivyokataliwa kuwa Mgombea wa Urais 1995, akasema basi hakuna haja ya kuwa na Mgombea kwenye chama chao... Na CHADEMA pale ndipo ilipoanzia kuteleza... Ikimbukwe pia hakuna chama cha Upinzani kiliwahi kuaminika kama chama Halisi cha Upinzani na chenyewe uwezo wa Kuongoza nchi enzi hizo (1995) kama sio CHADEMA. Sera zilikuwa wazi, zinaeleweka, zinatekelezeka.

Na nitawakumbusha sera moja upande wa Elimu... ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ya 1995... ilisema wazi kwamba wangeanzisha chuo kikuu kipya kwa kutumia majengo yaliyojengwa kwa ajili ya Makoa makuu.... CCM imelifanya hili 10yrs after...

Jamani, ile thread ya "UDHURU" iko wapi? Naomba irudishwe maana na kumbuka huyu jamaa aliwahi kuomba udhuru wa kuchangia pumba. Sasa naona ameanza kumwaga radhi. Bwana Kesheshe vipi, au tukupe tena udhuru?

Asha
 
Ikimbukwe pia hakuna chama cha Upinzani kiliwahi kuaminika kama chama Halisi cha Upinzani na chenyewe uwezo wa Kuongoza nchi enzi hizo (1995) kama sio CHADEMA. Sera zilikuwa wazi, zinaeleweka, zinatekelezeka.

Na nitawakumbusha sera moja upande wa Elimu... ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ya 1995... ilisema wazi kwamba wangeanzisha chuo kikuu kipya kwa kutumia majengo yaliyojengwa kwa ajili ya Makoa makuu.... CCM imelifanya hili 10yrs after...

Umemwaga pumba lakini mwishoni ukaweka bonge la point ili kuhalalisha pumba zako za juu kuhusu Mtei( eti mwenyekiti wa chama anaweza kukataza mkutano mkuu chama kisiwe mgombea). Na sifa zako kwa kazi ya kada mpinzani hapa zinachekesha, yeye lengo lake si kujenga ni kubomoa upinzani nawe unalijua hilo. Nashangaa mwanaizaya wamvimbisha kichwa

Asha
 
Asha Abdala,

Posti zako zinadhalilisha washabiki, wapenzi, wanachama na viongozi wa CHADEMA, unafanya watu waamini kwamba chama hicho ni cha mipasho... kama huna hoja nyamaza waseme wengine.

KadaMpinzani amekuja na nukuu kuonyesha kwa kiasi gani mwenzako alikuwa makini!

Zaidi ya hapo mama huko kwingine sikuwezi... by the way i hope uchakubangu wako unaishia kuandika hapa JF... kama na kwenye maisha ni hivyo mama punguza.
 
Basi Kesheshe wangu, usilie ukazua kasheshe.

Mi nakupenda lakini we umenishangaza kumtetea kada mpinzani ili hali ukisoma maneno yake unamjua vilivyo.

Mi kwenye hoja najitahidi kutoa hoja, hata hii ukisoma toka mwanzo kuna mahali nimetoa hoja.

Lakini watu wakileta vioja huwa nawaambia hapa ndio wamefika kwa Asha wa mipasho.

Sasa tuendelee na hoja jamani.

Umeona hoja ya Chacha Wangwe wa CHADEMA hapa:
http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=5110

Eti jamani wanaCHADEMA, ni nawaaibisha? Niambieni basi niache

huna lolote wewe, mbabaishaji kama huyo wangwe
 
aliyeihamisha hii ana matatizo gani aisee ? ahh, tushazoea lakini ! wenyewe watasema kwa nini wananchi wa kawaida tushinde katika kijiwe cha chadema !
 
aliyeihamisha hii ana matatizo gani aisee ? ahh, tushazoea lakini ! wenyewe watasema kwa nini wananchi wa kawaida tushinde katika kijiwe cha chadema !
KUNA MTU AMEWAHI KUGUSIA HILI.....IKITOKA POST ANT-CCM INABAKI HAPO ILIPO...IKITOKA ANT-CHADEMAMARA MOJA HUAMISHWA KUYUMBISHA MADA......IS JF CHADEMA ORIENTED....? ITS JUST A QUESTION....?
 
Sheria ya Vyama vya siasa Tanzania inasema nini inapofika suala la ugombeaji; ni lazima mwenyekiti ndiyo agombee nafasi ya juu ama inategemea na nani chama kimependekeza?

Staili ya Tanzania inaonekana mwenyekiti ndiyo anafaa kugombea na ndio maana huwa tunashindwa kutofautisha maamuzi toka kwa viongozi wetu haswa pale yanapoingiliana kwa niaba ya jingine.

Nahitaji katiba ya vyama; CUF, NCCR MAGEUZI, TLP na CCM. Mwenye anayo tafadhali tupeane. Asante.
 
Ting Ting,
Sio lazima mwenyekiti ndio agombee urais. Kwa mfano, mwaka 2005 NCCR-Mageuzi mgombea wake wa Urais alikuwa Dr.Sengondo Mvungi; hajawahi kuwa mwenyekiti wa chama hicho.
Kuhusu katiba, hebu tembelea www.nccrmageuzi.or.tz/
 
Hapo sawa sasa. Shukrani kwa hii tovuti ya NCCR-Mageuzi. Kumbe Mbatia ndio bado mwenyekiti ila NCCR kilishauliwaga nguvu labda kianze upya kujihimarisha. Katiba ya CHADEMA niliipataga online ila katiba ya CCM, CUF na TLP ndio bado. Big Up Sana Kiongozi
 
tatizo sio kuwa post ya mwaka 2005, bali ni decision iliyofanywa mwaka 2005 na CHADEMA under MBOWE ! THATS WHAT MATTERS ! Na kama ningekuwa na access ya kupata article ya mwaka 1995 ambapo waliungana na CCR-MAGEUZI pia ningeiweka !

It matters a lot, switching sides, opinions and minds since 1995 ? that shows a lot kwamba CHADEMA HASNT YET MADE UP ITS MIND, AU HAWAJIAMINI, AU HAWAJUI WANACHOFANYA !

You cant tell me since 1995, they are still stuck up on one issue, halafu useme hii ni propaganda ! Propaganda ya nani na kwa nani ? I am a concerned Tanzanian citizen na ndio maana nataka kujua hali halisi na ukweli na mambo ndio maana nimetundika hizi article hapa tudiscuss different views za watu, lakini nashangaa wengine waliosikwa mikia na kuwa wafuasi wa CHADEMA wakilalama na kusema hii propaganda ! Propaganda katika kutafuta ukweli ? come on man, you know you are wrong !

CHADEMA sio chama makini, hadi leo kinajifunga kamba kwa kutojua kisimamishe mgombea au la, na last agreement waliyosema ni kwamba watasimamisha mgombea mmoja toka upinzani, now lets wait and see !

VYAMA MAKINI HAVIWI HIVI HATA SIKU MOJA, WAKIWA WANASWITCH SIDES KUANZIA KWENYE VYAMA, ITAKUWAJE WAKIINGIA SERIKALINI >>??<<

Na mnaposema suala hili ni la 1995 kwamba halina nafasi hapa mnakuwa hampo fair, post ngapi hapa ni za zamani ?? masuala ya epa ni ya mwaka gani ? acheni zenu bana, kama hamtaki kuchangia msije lakini hili suala linaongeleka kama kawaida ! ENDELEENI KUOGOPA VIVULI VYENU !

now let me dig in deep kufind out kama hivi vyama katiba zao zinafanana, if so BONGE LA PETITION mwanangu linakuja !

What we need today is new face. Repetition of same known leaders who are not even anywhere near ni wastage ya muda tu na kukiharibia chama.
 
Nimepata wazo, nadhani katiba ya chama cha siasa haipaswi kuwa siri wala kufichwa. Nadhani ni wakati muafaka wa kuzileta zote hapa tuzipitie moja baada ya nyingine ili wadau watoe maoni yao na wasioelewa baadhi ya vipengele waeleweshwe kwa undani.

Hasa hasa katiba za Chadema, CCJ, CUF na CCM. Tuanze uchambuzi wa kina kuanzia kwenye majina yenyewe, dira na maudhui ya chama husika hadi katiba yake pamoja na malengo yake.

Wengi tumekuwa kizani kwa muda mrefu sasa, tuyajadili haya kwa kuwa muda ni huu, na pengine kesho si yetu!
 
Back
Top Bottom