Recent content by Charlzy De Nice

  1. C

    JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

    Mbona wew hawajakuua na unaonekana unajua sana?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Acheni watu watengeneze team unazan unatengeneza team kwa msimu mmoja?
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ulitegemea wew na nani.?? Na wew kama nani?
  4. C

    JamiiForums Tanzania naomben msaada Wa no unazobonyeza ili kujiunga na mobile bank

    [emoji2][emoji2][emoji2] hahahaha daah ndio kimeota nyasi aisee
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu ninakwama wapi? Mbona uaminifu wangu haunilipi ?

    Mafaniki huyapati.... Mafanikio ni msamiati ambao kila mtu anatafsiri kulingana na anavyopenda. Umesema wew ni muaminifu na kila mtu anajua hilo.. basi kufahamika tuu wew ni muaminifu katika ofisi yako yapasa kua mafanikio makubwa sana kwako. Wengi wanatafsir mafanikio kwa kupata cheo na...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukran
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo ya Chid benz ft Ngwea ... achana na Speed 120 ipo ngoma moja ya zaman.. Ivi... Mc nimetoka mbali nio kwenye safari ..... msaada
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ballon d'Or ni ya Messi,au kuna mwingine?

    Mohammed Salah
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Anataka kwenda China bhana
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Grazers hawataki kuuza.... umesahau enzi za gold and yellow... wamepingwa sana hawa grazers
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanians come here we talk, what is this?

    Picha ya kwanza inaonesha kilimo cha nyumba... unapanda chumba kimoja inaota nyumba kubwa... kenya kilimo hiko hakijafika
Back
Top Bottom