Watu wengine bana,si mkashabikie michezo mingine yaani mnatia hasira sana.Ndo maana tunasema ligi yenye ushindani yaani timu yoyote inaweza kuwa bingwa!ndio ushindani mkuu!Sasa ligi yenye timu mbili ambazo zinacompete kila mwaka isipokuwa hii utajua lazima iwe ile.Sikatai Spain ni ligi yenye...
Tafadhali nakuomba sana kwenye list ya timu zako kubwa ondoa Arsenal na Chelsea au unipe vigezo unavyozingatia kuita hizo timu timu kubwa labda ntakuelewa.
Hicho kipindi asipokuwepo PJ kinaboaga sana,ki ujumla namkubali sana kwenye uchambuzi wa magazeti jamaa sio tu anajua huwa anajipanga,hawa wengine wana ustaa wao sehemu nyingine lkn kwenye magazeti nisipomsikia PJ najua hamna kitu.Mara nyingi huwa ananichelewesha kazini sababu ya kumsikiliza...
Nywele ni mapokezi a.k.a reception ndo unaona kwanza unavutika ndio ushuke kdg kifuani alafu kiuno,bambataa lilivyokaa sio alimradi tu then uanamalizia kwenye ulegi.Sasa ukicheki hivyo vitu uka compare na home km ulilipua ndo chanzo cha ndoa kupata shida.
Hapo mi sipati picha kitu kinavyopigwa hewa,manake uko uchi na kwa stahili ukikatiza uswahilini kagiza kakiwa kameingia watoto wa mbwa hawapati shida sana.
Edo ni kifaa,binafsi huyu jamaa namkubali sana kwenye ulingo hasa wa kispoti.Kwa ujumla ni mweledi kwa kile anachokiandika katika makala zake za magazetini lkn hata ukimsikiliza kwenye uchambuzi wa michezo na hasa soka utagundua jamaa habahatishi.
Sina maneno mengi ya kumuelezea jamaa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.