SIO AKILI YAKOI pray 4 Maxence Not 4 Lema Wacha Aisome NambaView attachment 446831

Du umepanic ? ???Wewe mwanamke kama sio Melo ungekuta unakata miuno hapa? Nyambaf rudi huko facebook ukaungane na wanakitchenparty wenzako
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Leo, Arusha na Dar kuna mashauri ya watanzania wenzetu wawili: Maxence Mello, Mwanzilishi wa mtandao huu wa JamiiForums na Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. Hapa Dar, Mello amefikishwa mahakamani muda huu kusomewa mashtaka yake yanayohusiana na makosa ya kimtandao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kule Arusha, Mbunge Lema amepelekwa mahakamani katika harakati zake za kusaka dhamana. Amewasilisha, kupitia Mawakili wake, Maombi Madogo Mahakama Kuu ya Tanzania ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Akifanikiwa katika Maombi yake madogo,atawasilisha rufaa yake katika taratibu za kisheria.
Mello na Lema ni alama za mapambano ya kudai 'uhuru wa kukosoa'. Uhuru wa kukosoa kwa wema. Uhuru wa kukosoa kwa kujenga. Kukosoa kwa kusema ukweli. Kuita tui ni tui na si ndugu wa maziwa. Kusema bila kumumunya na kusema kwa 'data' za uhakika. Wawili hawa wanapitia njia moja ya kimahakama. Wote ni washtakiwa kwa 'kukosoa'.
Mello na Lema ni alama zetu, mboni zetu na mifano yetu wapenda ukweli. Sisi wachukia unafiki na uongouongo tunawakilishwa nao. Penye ukweli tutaendelea kusema; penye mazuri tutaendelea kupongeza. Hatuwezi kuacha kukosoa kufanyika vikao vya CCM Ikulu wala teuzi za wanajeshi katika chama cha siasa: CCM!
Mello na Lema, hatimaye, watapata haki yao. Watajiunga nasi katika kuendelea kujenga Taifa letu kwa njia ya kukosoa mabaya na kupongeza mazuri. Kwakuwa wote ni wanachama wenzetu wa JF, tupo nao katika mapito yao na hata mazuri yao ambayo yanakaribia kwa kasi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hiyo ndoto Mkuu wewe ndio hujaelewa. Mbona hajaota ndoto ya MKEWE? hizi Siasa za kuchanganya na majukumu ya Kina Sangoma hazina mashiko
Kutoelewa Lema kasema nini ni tatizo la ukosefu wa akili.
Lena kasema " kaota kuwa bwana mkubwa akiendelea kujilinganisha na Mungu basi atatwaliwa kabla ya 2020"
Sasa kwa wale wanao chukizwa watuambie jee anatarajia kujilinganisha na Mungu? Kama jibu ni hapana hana tabia hiyo, hofu ya nini na ndoto ya Lema si haina maana?
Najua umefanikiwa kuingia kwenye yale ulitarajia ndani ya chama saidia kusemea hili huko vikaoni.Leo, Arusha na Dar kuna mashauri ya watanzania wenzetu wawili: Maxence Mello, Mwanzilishi wa mtandao huu wa JamiiForums na Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. Hapa Dar, Mello amefikishwa mahakamani muda huu kusomewa mashtaka yake yanayohusiana na makosa ya kimtandao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kule Arusha, Mbunge Lema amepelekwa mahakamani katika harakati zake za kusaka dhamana. Amewasilisha, kupitia Mawakili wake, Maombi Madogo Mahakama Kuu ya Tanzania ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Akifanikiwa katika Maombi yake madogo,atawasilisha rufaa yake katika taratibu za kisheria.
Mello na Lema ni alama za mapambano ya kudai 'uhuru wa kukosoa'. Uhuru wa kukosoa kwa wema. Uhuru wa kukosoa kwa kujenga. Kukosoa kwa kusema ukweli. Kuita tui ni tui na si ndugu wa maziwa. Kusema bila kumumunya na kusema kwa 'data' za uhakika. Wawili hawa wanapitia njia moja ya kimahakama. Wote ni washtakiwa kwa 'kukosoa'.
Mello na Lema ni alama zetu, mboni zetu na mifano yetu wapenda ukweli. Sisi wachukia unafiki na uongouongo tunawakilishwa nao. Penye ukweli tutaendelea kusema; penye mazuri tutaendelea kupongeza. Hatuwezi kuacha kukosoa kufanyika vikao vya CCM Ikulu wala teuzi za wanajeshi katika chama cha siasa: CCM!
Mello na Lema, hatimaye, watapata haki yao. Watajiunga nasi katika kuendelea kujenga Taifa letu kwa njia ya kukosoa mabaya na kupongeza mazuri. Kwakuwa wote ni wanachama wenzetu wa JF, tupo nao katika mapito yao na hata mazuri yao ambayo yanakaribia kwa kasi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mungu akubariki kukombolewa kutoka katika vipofu vya LUMUMBALeo, Arusha na Dar kuna mashauri ya watanzania wenzetu wawili: Maxence Mello, Mwanzilishi wa mtandao huu wa JamiiForums na Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. Hapa Dar, Mello amefikishwa mahakamani muda huu kusomewa mashtaka yake yanayohusiana na makosa ya kimtandao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kule Arusha, Mbunge Lema amepelekwa mahakamani katika harakati zake za kusaka dhamana. Amewasilisha, kupitia Mawakili wake, Maombi Madogo Mahakama Kuu ya Tanzania ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Akifanikiwa katika Maombi yake madogo,atawasilisha rufaa yake katika taratibu za kisheria.
Mello na Lema ni alama za mapambano ya kudai 'uhuru wa kukosoa'. Uhuru wa kukosoa kwa wema. Uhuru wa kukosoa kwa kujenga. Kukosoa kwa kusema ukweli. Kuita tui ni tui na si ndugu wa maziwa. Kusema bila kumumunya na kusema kwa 'data' za uhakika. Wawili hawa wanapitia njia moja ya kimahakama. Wote ni washtakiwa kwa 'kukosoa'.
Mello na Lema ni alama zetu, mboni zetu na mifano yetu wapenda ukweli. Sisi wachukia unafiki na uongouongo tunawakilishwa nao. Penye ukweli tutaendelea kusema; penye mazuri tutaendelea kupongeza. Hatuwezi kuacha kukosoa kufanyika vikao vya CCM Ikulu wala teuzi za wanajeshi katika chama cha siasa: CCM!
Mello na Lema, hatimaye, watapata haki yao. Watajiunga nasi katika kuendelea kujenga Taifa letu kwa njia ya kukosoa mabaya na kupongeza mazuri. Kwakuwa wote ni wanachama wenzetu wa JF, tupo nao katika mapito yao na hata mazuri yao ambayo yanakaribia kwa kasi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huo ndio unafiki tunaopigana nao! Wote wanabambikwa makosa ya kuminya uhuru wa kuongea iweje uwe na upande? Acha unafiki mkuu simama kwenye kweliI pray 4 Maxence Not 4 Lema Wacha Aisome NambaView attachment 446831
kama kuna watu wanatafutwa basi wewe ni top maana mwenye kiti alisema hataki wasaliti.Leo, Arusha na Dar kuna mashauri ya watanzania wenzetu wawili: Maxence Mello, Mwanzilishi wa mtandao huu wa JamiiForums na Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. Hapa Dar, Mello amefikishwa mahakamani muda huu kusomewa mashtaka yake yanayohusiana na makosa ya kimtandao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kule Arusha, Mbunge Lema amepelekwa mahakamani katika harakati zake za kusaka dhamana. Amewasilisha, kupitia Mawakili wake, Maombi Madogo Mahakama Kuu ya Tanzania ya kuongezewa muda wa kuwasilisha rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Akifanikiwa katika Maombi yake madogo,atawasilisha rufaa yake katika taratibu za kisheria.
Mello na Lema ni alama za mapambano ya kudai 'uhuru wa kukosoa'. Uhuru wa kukosoa kwa wema. Uhuru wa kukosoa kwa kujenga. Kukosoa kwa kusema ukweli. Kuita tui ni tui na si ndugu wa maziwa. Kusema bila kumumunya na kusema kwa 'data' za uhakika. Wawili hawa wanapitia njia moja ya kimahakama. Wote ni washtakiwa kwa 'kukosoa'.
Mello na Lema ni alama zetu, mboni zetu na mifano yetu wapenda ukweli. Sisi wachukia unafiki na uongouongo tunawakilishwa nao. Penye ukweli tutaendelea kusema; penye mazuri tutaendelea kupongeza. Hatuwezi kuacha kukosoa kufanyika vikao vya CCM Ikulu wala teuzi za wanajeshi katika chama cha siasa: CCM!
Mello na Lema, hatimaye, watapata haki yao. Watajiunga nasi katika kuendelea kujenga Taifa letu kwa njia ya kukosoa mabaya na kupongeza mazuri. Kwakuwa wote ni wanachama wenzetu wa JF, tupo nao katika mapito yao na hata mazuri yao ambayo yanakaribia kwa kasi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ni wazi fasihi kwako ni aina ya PombeMkuu umekosea ni hivi LEMA anadai uhuru wa kusimulia na kutuaminisha ndoto zake.
Great... Tell her ...Wewe mwanamke kama sio Melo ungekuta unakata miuno hapa? Nyambaf rudi huko facebook ukaungane na wanakitchenparty wenzako
Alikuaminisha?Mkuu umekosea ni hivi LEMA anadai uhuru wa kusimulia na kutuaminisha ndoto zake.