Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

Pumbv.... wewe miaka 60 size yako. Kwani ulitembea na watoto wa shule ili iweje. Nipe adress yamo uliopo niwalete polis ss hv.
 
yaan mkuu bora tu ujiue la sivyo utanyea debe miaka 60.halafu bado kidogo utabunguliwa
 
We ndio Zuzu; kichwa box..,na possibly unaweza shindwa kumanage na kusimamia maisha yako.
 
Tubu umwamini Bwana Yesu utapata jibu sahihi la nini cha kufanya vinginevyo hakuna mwenye majibu sahihi
 
Sasa wewe unayetembea na wanawake wanne Kwa mpigo tukuiteje? Malaya? Player?
 
Umekuja kututangazia wewe ni mwasherati uliyekubuhu?

Ushindwe kutulia wewe usingizie 'wanawake wa Dar', ngoja waje hapa sasa wakujeruhi!
 
Umepima DNA? umejuaje kama hiyo ni mimba ya wewe?. Wape posho zao watakulinda
 
habari zenu wana jf,

nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na hawa wanawake wangu nimejikuta wanawake wanne wana mimba zangu, yani wawili ni wanafunzi wa secondary, mwingine ni mwanafunzi wa tia na mwingine ni mfanyakazi wa taasisi moja hivi.

Ila kinachoniumiza wote hao nimepima na kweli nikakuta wana mimba na nimewaambia watoe wanazinguwa kutoa mimba, na nikiwaza hawa wanafunzi ndiyo nahisi miaka 30 mara mbili maana wako wawili ambayo itakuwa 60 inaningojea.

Hapa natamni nikimbie tena dar au nihame eneo hili au nijiue maana mie hawa wanawake siwataki, sina pa kuwapeleka na sijajipanga kuoa.

Ombi langu: Wanawake wa dar acheni tabia za kulengesha mimba kizembe na muwe mnakubali kutumia condom.

Naombeni msaada wa mawazo, je, niwakimbie niende hata tabora au kigoma au nikomae nao hapahapa jijini? Au nikatae mimba sio zangu kuwa wananisingizia hao wanafunzi?

Msaada wa mawazo tafadhali

umenichekesha sanaaa..
Mwanzoni uliwasifia kwa kuwa laini na kutokubali kutumia kondom au uliwasifia kwa kuwa wanavaa nguo moja ndani au uliwasifia kwa weupe walionao au??

Sasa hoho ubaya wao umeuona kwenye lipi kwa kuwa wamekataa kutoa mimba au kwa kuwa umejikuta wote wana mimba yako

tatizo lao liko wapi

kweli tembea uone
 
sasa kavu ulitaka wasikulengesheee...wengine hata hawajui siku za hatari,...ndio ujifunze kulaleki..karudie tena kwani wakiwa tabora ndio hawatapata mimba........
 
Habari zenu wana JF,

Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na hawa wanawake wangu nimejikuta wanawake wanne wana mimba zangu, yani wawili ni wanafunzi wa secondary, mwingine ni mwanafunzi wa TIA na mwingine ni mfanyakazi wa taasisi moja hivi.

Ila kinachoniumiza wote hao nimepima na kweli nikakuta wana mimba na nimewaambia watoe wanazinguwa kutoa mimba, na nikiwaza hawa wanafunzi ndiyo nahisi miaka 30 mara mbili maana wako wawili ambayo itakuwa 60 inaningojea.

Hapa natamni nikimbie tena Dar au nihame eneo hili au nijiue maana mie hawa wanawake siwataki, sina pa kuwapeleka na sijajipanga kuoa.

Ombi langu: wanawake wa Dar acheni tabia za kulengesha mimba kizembe na muwe mnakubali kutumia condom.

Naombeni msaada wa mawazo, je, niwakimbie niende hata Tabora au Kigoma au nikomae nao hapahapa jijini? Au nikatae mimba sio zangu kuwa wananisingizia hao wanafunzi?

Msaada wa mawazo tafadhali

kama uweza kutunga story kama hizi nakushauri uandike kitabu. utapiga hela sana
 
Komaa tu hapo hapo ukonga, segerea au keko kila lakheri na maisha mapya
 
Habari zenu wana JF,

Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na hawa wanawake wangu nimejikuta wanawake wanne wana mimba zangu, yani wawili ni wanafunzi wa secondary, mwingine ni mwanafunzi wa TIA na mwingine ni mfanyakazi wa taasisi moja hivi.

Ila kinachoniumiza wote hao nimepima na kweli nikakuta wana mimba na nimewaambia watoe wanazinguwa kutoa mimba, na nikiwaza hawa wanafunzi ndiyo nahisi miaka 30 mara mbili maana wako wawili ambayo itakuwa 60 inaningojea.

Hapa natamni nikimbie tena Dar au nihame eneo hili au nijiue maana mie hawa wanawake siwataki, sina pa kuwapeleka na sijajipanga kuoa.

Ombi langu: wanawake wa Dar acheni tabia za kulengesha mimba kizembe na muwe mnakubali kutumia condom.

Naombeni msaada wa mawazo, je, niwakimbie niende hata Tabora au Kigoma au nikomae nao hapahapa jijini? Au nikatae mimba sio zangu kuwa wananisingizia hao wanafunzi?

Msaada wa mawazo tafadhali
Mkuu we subiri upigwe tisini,wanafunzi 2 @30 na mwanachuo 1 30 = 90 nadhani km unamiak 20 ukitoka 110,naona km utafia jela.Waage ndugu zako kabisa.
 
Habari zenu wana JF,

Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na hawa wanawake wangu nimejikuta wanawake wanne wana mimba zangu, yani wawili ni wanafunzi wa secondary, mwingine ni mwanafunzi wa TIA na mwingine ni mfanyakazi wa taasisi moja hivi.

Ila kinachoniumiza wote hao nimepima na kweli nikakuta wana mimba na nimewaambia watoe wanazinguwa kutoa mimba, na nikiwaza hawa wanafunzi ndiyo nahisi miaka 30 mara mbili maana wako wawili ambayo itakuwa 60 inaningojea.

Hapa natamni nikimbie tena Dar au nihame eneo hili au nijiue maana mie hawa wanawake siwataki, sina pa kuwapeleka na sijajipanga kuoa.

Ombi langu: wanawake wa Dar acheni tabia za kulengesha mimba kizembe na muwe mnakubali kutumia condom.

Naombeni msaada wa mawazo, je, niwakimbie niende hata Tabora au Kigoma au nikomae nao hapahapa jijini? Au nikatae mimba sio zangu kuwa wananisingizia hao wanafunzi?

Msaada wa mawazo tafadhali

Dume la mbegu hahahhaaaaa utajutraaa
 
Kaka ukipenda boga penda na Maua yake hayo ndio maua yenyewe yameshachanua chamsingi komaa kuyamwagilia yakomae vzr ili nyuki waje watue kwa wingi
 
Back
Top Bottom