Recent content by Chariton003

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, ningetumia Trilioni 8 Kujenga km 5,000 za Barabara za Lami Badala ya Km 400 za SGR

    Unaposema pambo una maana gani? Kwamba watu na mizigo haifiki inapokwenda? Vipi speed ya gari (Iwapo ungejenga barabara kama unavyosema) inafanana na speed ya sgr? Nadhani una mawazo ya kimasikini! Tunapaswa kwenda na wakati!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Biblical Interpretation: Shetani siyo Lucifer, Lucifer ni Yesu (King James Isaiah 14:12 and Revelation 22:16)

    Nadhani nakuelewa! Aliitwa lucifer akiwa upande wa utakatifu lakini alipohasi na kufukuzwa toka upande ule wa watakatifu alibadilishiwa jina na kuitwa ibilisi, joka, shetani!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hatukubali tena, imetosha!

    Una uhakika gani kina Msigwa walikuwa wapinzani 100%!! Kuna watu mapandikizi ya CCM wapo upinzani wakikitumikia chama bila wapinzani wenyewe kujua! Wanaporudi nyumbani kama mwana mpotevu alivyorudi tusiwashangae sana badala yake tufanye nao kazi!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siri nne za mafanikio 2024: Vitu ambavyo matajiri hawawezi kukwambia

    Ukweli mchungu ni kwamba sisi ni mijitu mivivu sana katika suala zima la kuongeza maarifa kwa njia ya kujisomea vitabu! Ukitaka ugomvi na mtanzania, mwambie asome vitabu!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Samaki wanaoongoza kwa thamani

    Safi, 1) Je, wana magamba? 2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi? Ahsante
  6. C

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Mnataka mharishe kwenye mabasi yao! Kama vipi andaa msosi wako mwenyewe toka nyumbani, beba vinavyobebeka!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mafua na kikohozi vimezidi tumia njia hii

    Ahsante
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa Computer Kwa Ujumla

    Ahsante
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Kwa habari ya wanawake wa kijita nikushauri kuwa positive! Kama wewe ni mjita rudi ujitani ukaelimishe wajita wenzio kuachana na mila na desturi hizo za hovyo! Usipoteze muda na nguvu zako nyingi kununa badala yake wekeza muda na nguvu zako kubadilisha mila na desturi zenu! Kwa upande wetu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Unajua ada zao lakini? Isije ikawa wao ndiyo wanaongoza kwa upuuzi huo sema indirectly! (Hii ni kwa hoja kwamba watoto wanakalishwa muda mrefu shuleni kama sehemu ya shule kujiongezea kipato!)
  11. C

    JamiiForums Tanzania Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    Kwahiyo hapa tunapoongea wewe ni mkimbizi wa kisiasa na upo ulaya? Hoja yangu ni, je, upo ulaya hivi tunavyoongea? Sidhani kama wapo tayari kusafirisha slaves from Tanzania!! Naona kama uwezo wao kifedha unazidi kupungua kadri vita inavyozidi kusonga mbele!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    Kwa bahati mbaya, jinsi nilivyoelewa jamaa wanaajiri wakimbizi waliopo ulaya siyo huku kwetu! Hili unalizungumziaje? Kasome upya labda kama sijaelewa!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    You are not a fighter! You are a slave! Ungekuwa fighter unge fight against slavery unayoizungumzia (yaani iliyopo hapa kwako)! Kama ukienda kupigana kwa manufaa ya wa'Ukrain' you are still a SLAVE!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

    Great work! Congrats
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda Movies za kuchekesha hasa(elewa neno hasa) mje hapa

    Barikiwa
Back
Top Bottom