Recent content by chapailale

  1. C

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    words,, Bashe
  2. C

    Masha Lawrence yu wapi wadau?

    ,,, siku moja pale Rose Garden akiwa na group yake aliyooita G7,, alitamka hawezi kusumbuliwa na wala samaki (watu wa Mwanza),,wakati huo akiwa minister,,,, hakika anakula matapishi yake sasa,,
  3. C

    CHADEMA yalipuliwa

    SISI WENGINE TUSIO WAFUASI WA VYAMA VYA SIASA MNATUCHANGANYA SANA,,,JUENI KWAMBA MILUZI MINGI INAMPOTEZA MBWA. CDM KWANINI MNAKUA HAMPENDI KUKOSOLEWA TENA MTU KAAMUA KWENDA MAHAKAMANI ILI HAKI IPATIKANE,MBICHI NA MBIVU ZIJULIKANE? LIPI AFADHALI SASA MTU KUONGEA BLABLA TU MAJUKWAANI BILA EVIDENCE...
  4. C

    huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

    mwanaone asante kwa kujenga hoja,,,,sijaona hata mchangiaji mmoja aliyetoa hoja ya kupinga/kusafisha Mh Lema. wadau toeni hoja si kutukana na kutafuta wapi mtoa mada kakosea,,,ndo mana hapa JF ni pahala pa GREAT THINKERS,, km wewe unamahaba na Lema mwite ukanywe nae chai,,lkn alichokileta mtoa...
  5. C

    chama international kila mtu lazima apige hili gwanda

    ndg wadau,,,nimejaribu sana bila mafanikio kupata hizi gwanda hasa koti la juu bila mafanikio,,,naomba muongozo kwa kupata izi kitu kwa urahisi,,,
  6. C

    Wabongo wanahadhirika SA.

    ,,,maisha popote waache wahangike bana,,,huwezi jua
  7. C

    Hali yachafuka singida mjini.

    God forbid,,,,.
Back
Top Bottom