Hali yachafuka singida mjini.

Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!

Am very sorry for the JF Senior member to have such a mindset full of religious extreemism and political impurities. Kama kweli wewe ni muislam, UNAUCHAFUA HUO UISLAM, KAMA unachokisema na kukitetea kuna mtu atakiunga mkono basi wewe na yeye ni wakala wa ibilisi katika amani ya Tanzania.

UNASTAHILI BAN tena haraka! Unachafua amani siyo tu ya jukwaa bali ya nchi nzima. lakini pia umedhihirisha uwezo mdogo wa kuitakia nchi hii mema. Ndugu Muombe sana Mungu akujalie kufikiri nje ya mipaka ya kawaida. Nenda mbele kidogo kifikra ili uweze kuonekana kuwa mpenda nchi.

Uchochezi wako umenisikitisha sana, umenifadhaisha sana na kuukosea sana uislam wa kweli.
Endelea kujibu ili tuendelee kukufunza mapito ya amani ya kweli.CDM wakikosea wataelimishwa hapahapa kama tunavyokuelimisha wewe hata kama kichwa chako ni kigumu kupata ilimu.
 
Wakuu tujaribu kuwa tunarekodi hizi hotuba hili kuweza ku-support habari zetu.Tuhuma hizi ni nzito sana na zinaweza kuleta machafuko makubwa.

Kama kungekuwa na ushahidi basi tungeweza kuiomba serikali hilaani hizi kauli kama walivyokuwa wanalaani chadema.

Hapa issue sio kwamba kiongozi ni dini gani bali ni utendaji wa kazi wa viongozi wetu.
 
Mtoa mada kakurupuka haeleweki anatuhabarisha au analalamika, kabla hujaleta ujinga wako hapa ni vyema ukakaa na kufirikri kilichowaleta hao washenzi hapo ni nini na kuanza kueneza udini wenu hapo. Mshindwe na mlegee. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mimi muislam na uislam unasema hivi utakapoona muislam mwenzio anadhulumiwa mtetee na pia atakapodhulumu mkataze sasa mashekh we2 wanachosema CDM serekali inadhulumu sasa mbona hamumkatazi kikwete anapodhulumu pesa ya walipa kodi kuwapa mafisadi pia uislam unasema dua ya mwenye kudhulumiwa inaenda 1 kwa 1 kwa mungu haina kizuizi mbona hatumwambii kikwete mimi nawaomba wana JF wasiwalaumu waislam bt wawalaumu hawa mashekh ubwabwa wanao2miwa na wanasiasa

well said,
UISLAM UPO VERY CLEAR KWENYE TEACHINGS ZAKE NA KUSICHANGANYWE BAINA YA MUISLAM KASEMA vs UISLAM UNASEMA.
 
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!

Mmmh umetumwa si bure makafir tena huku hospital zao mwatibiwa mitaan mwazikana, hao masheikh upupu wachache wataendelea kutumiwa hadi **¥* yao. Na wewe mleta thread wewe. Vaa bomu basi. Machafuko yakitokea hapa hata ndgu zako watasambuliwa. IQ ndogoooooooo. Uchochezi tu.
 
Mimi muislam na uislam unasema hivi utakapoona muislam mwenzio anadhulumiwa mtetee na pia atakapodhulumu mkataze sasa mashekh we2 wanachosema CDM serekali inadhulumu sasa mbona hamumkatazi kikwete anapodhulumu pesa ya walipa kodi kuwapa mafisadi pia uislam unasema dua ya mwenye kudhulumiwa inaenda 1 kwa 1 kwa mungu haina kizuizi mbona hatumwambii kikwete mimi nawaomba wana JF wasiwalaumu waislam bt wawalaumu hawa mashekh ubwabwa wanao2miwa na wanasiasa
swadakta...

Tusifumbie uovu kwa sababu ya udini, dini yoyote ile inaonya maovu yawe yamefanywa na kafir au muislamu

Rai yangu kwa wana JF: Hao mashekhe wametumwa na wanalipwa pesa nzuri sana kufanya wanayofanya, kamwe tusipoteze nguvu kuwasikiliza, watachoka na kuacha
 
wapo ambao wanazomea ,na wakiendelea uvumilivu utatushinda kwani hatuwezi kukaa kimya muislamu mwenzetu akinyanyaswa na Kafir wa CHADEMA.
Haki sawa kwa wote na sio maaskofu kumdhalilisha rais wetu.

Acha unafiki!! Mbona mnaenda kwa babu na kuombewa kwa imani ya kikristo?? Nyie wanafiki sana, ndiyo maana siupendi uislamu
 
Acha unafiki!! Mbona mnaenda kwa babu na kuombewa kwa imani ya kikristo?? Nyie wanafiki sana, ndiyo maana siupendi uislamu

Napenda sera hii ya CDM, wote wangeacha unafiki na kuimba hivi kwa uwazi nadhani Slaa siku nyingi angekuwa rais.
 
Mimi pia ni muislamu lakini nawaona masheikh hao kama makuwadi wa wanasiasa wa CCM. Hakuna katika uislamu wizi na ufisadi unaofanywa na muislamu unapohalaliswa. Kikwete ni muislamu mwenzetu lakini amefanya maovu mengi ya waziwazi ya kuwalinda na kuwatetea wahalifu, waislamu kwa wakristu wanaoendelea kuhuujumu uchumi na kusababisha maafa makubwa kwa watanzania. Dhulma ni dhulma, ifanywe na Mkristo au muislamu inapaswa kukemewa. Binafsi sioni tofauti kati ya Kikwete, Mkapa na wengineo ndani ya CCM.
Waislamu wenzangu ni bora tuweke maslahi ya nchi mbele kuliko kujitambulisha na wezi, vibaka na wahalifu waliosheheni ndani ya CCM kwa kufanya hivi tutawakatisha tamaa hata wale ambao waliokuwa na tamaa na imani yetu.
 
Sisi siku zote tumekua tukiamini kuwa udini haupo kumbe wanaoutabiri wanajua wanachokiongea na kilichopangwa. Mimi for one najua watashindwa watanzania tuko makini HATUDANGANYIKI tafuteni jingine la kutugawa hili tumewastukia.
 
Kwa singida ninayoifahamu hakuna wanachama wengi wa chadema; asilimia kubwa (zaidi ya 80%) ni wana-CCM. Kama kuna wakristo wanaudhika na huo mharadhara si kwa sababu wako chadema bali kwa sababu mahubiri yenu ni ya uchochezi wa kidini na si siasa kama unavotaka kutuaminisha. Poleni sana wazee wa shari.

Na huenda hawa wakaona kuwa kuna umuhimu kweli wa kujiunga na CHADEMA. Unapomsikia kiongozi wa nchi anavuka msitari na kutamka waziwazi kuwa kuna udini basi ujue kuwa sasa anaipeleka nchi huko. Nina hakika masheikh ubwabwa hawa wanaongea kifua mbele wakiwa na imani kuwa wanamsemea mtu atakayewalinda na hatua za kisheria dhidi yao.
 
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!
Kwanza siwezi amini kama kweli waislam wanaweza fanya upuuzi kama huo. yaani haiingii akilini kabisa. Kwanza hata kama wanasema
kuwa chadema inapigiwa debe na maasikofu makanisani (japo si kweli) kwanini na wao wasifanye hivyo ndani ya misikiti?kwanini wana
toka mabarabarani na kufanya mihazara? Hivi tunaelekea wapi jamani? CCM mnaona mbegu ya chuki mliyowapandikiza waislam?
 
Hawa ndio wanaoitwa extremists na radicals.

Watu wa dunia yote hawawezi wote kuwa wakristo, wala haitatokea wawe waislamu..
Ningewakubali hao masheik na maimam kama wangekuwa na mkutano wa hadhara unaohusu upendo na uvumilivu maana hiyo ndo misingi ya dini.

lakini kama UISLAM unasemekana kuhubiri AMANI na mambo kama haya yanatokea, ni dhahiri kabisa haiingi akilini.

Huyo Kikweye alipopata kura zaidi ya 80% mwaka 2005 zilikuwa za waislamu peke yao??
Hebu hizo hoja za chadema zijibiwe kisiasa na vyama vingine.
Dini ziendelee kukemea maovu. Watanzania tunaishi kwa amani bila kujali kama jirani yako ni dini gani.. Lakini hizi chuki zitawafikisha pabaya. na muda si mrefu mtaanza kuvaa MABOMU.

Maaskofu hawataacha kukemea uovu kwa sababu MASHEIKH hawataki kukemea. Acheni kujenga chuki kwa wadanganyika.. mtaacha nchi nzima wawe vichaa sasa..madeni ya dowans, gharama za maisha kupanda, ukame, ukosefu wa umeme..Hao masheikh waje na solution za matatizo yetu
 
Natumai viongozi wetu mnasikia msg tunayopewa kuwa uchadema ni ukristo na uislamu ni uCCM. Wito kuwa waislamu wasimame kumtetea muislamu(CCM) mwenzao. Mnaponyamazia haya inatia hofu? Nyie mwasemaje? Tuamini haya na tujipange hivyo? Tuwekeni wazi ili tusibaki njia panda.
 
unajua wafuasi wa cuf wote wameamia ccm ndio maana izo issue za udini zimeanza kurindima kipindi kile cha ben masheikh wote walikuwa wanaipigia chapuo cuf sasa baada ya kuona cuf inapoteza mwelekeo wakakimbilia kwa mkwele kwani tulizikamata message zao zikisema msimchaguo huyo ni adui wa islam mkishindwa kumpa lipumba basi mpeni mkwere
 
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!

Kama ni kweli hao mashekhe wamesema haya maneno, basi Kikwete inabidi atoe tamko, hawa ndiyo wanahatarisha amani ya nchi sio chadema. Yani ni ujuha wa ajabu; mwislam mwenzetu...ukitumwa umlete muislam, utamleta Kikwete?
 
Back
Top Bottom