Recent content by Chapa Nyingine

  1. C

    Wapi naweza kupata German dictionary kwa Dar es Salaam ?

    Habari. Naomba anaejua wapi naweza kupata german dictionary in dar anijulishe. Shukran.
  2. C

    Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

    Hivi ile nyumba alonunuaga wema iko wapi? Ilipotea eehe? Sasa ndo same drama,idris hajanunua hiyo nyumba,kapangisha ni nyumba ya muarabu mmoja hapa town,tena hata mkataba hajapewa bado,hapo alienda kuangalia akapiga picha,,msifien tu for now mana mtakavombadilikia akiumbuka hataamin..
  3. C

    Millard Ayo ajimilikisha Jokate

    Jojo kichwa upepo sana,sanaaaa kwa tunaomfaham,,msifien nyie mnaomuona magazetini. Ova
  4. C

    Kwa anayehitaji chumba na sebule

    Bado kipo? Nahitaji,naomba ni pm ya contacts tuongee
  5. C

    Nahitaji upande wa kupanga

    Apartment,thanks.
  6. C

    Nahitaji upande wa kupanga

    Habari wanajamii,,nahitaji upande wa kupanga,room moja na sitting room,na jiko km lipo,,maeneo ya kijitonyama mpaka morocco. Kwa anayeweza kunisaidia dalali nitashukuru. Asanten.
  7. C

    Nafasi za kazi Qatar

    1. Bara wanaishi WATU sio mijitu,inaonyesha jinsi gan ulivojawa chuki nafsin mwako na elimu wala utandawazi hajakufikia"narrow minded",sambaza UPENDO,chuki haukupeleki hata huko pepon unakodhan ww ndo uko perfect....2. Waznz wengi shule hawaend,so its cheap kwa wenye kiwanda pia,BARA weng...
  8. C

    Kamwandikisha mtoto kwa ubini wa mwanaume mwingine

    Una hakika hizo mimba zilikuwa zako? Au ulikuwa unabariki tu laana? Polee,,,
  9. C

    PCCB mbona kimya?

    Sasa mim ndo ajiri boss? Jazba za nin?,,ungenote the word "labda"
  10. C

    PCCB mbona kimya?

    Uwe unasoma kwa makini,nimekwambia jamaa yangu ndo accountancy yupo moro bana
  11. C

    PCCB mbona kimya?

    Ndo nimekwambia mm sikuapply so sikuwa interested kujua process zozote ila jamaa yupo accountancy
  12. C

    PCCB mbona kimya?

    Economics
  13. C

    PCCB mbona kimya?

    Labda nimuulize saiv ila sikuwa interested mana huko sikuwepo kabisa,nikijua nitakujulisha ila we subiri tu labda wanaita kwa awam
  14. C

    BOT waanza kuita interview

    Mi pia upper second niliomva bank examiner hawajaniita labda km wanavigezo vingine,ila fresh
Back
Top Bottom