Chapa Nyingine
Member
- Mar 24, 2014
- 34
- 23
mbona mi nina upper second ila cjaitwa...niliomba bank examiner..
Mi pia upper second niliomva bank examiner hawajaniita labda km wanavigezo vingine,ila fresh
mbona mi nina upper second ila cjaitwa...niliomba bank examiner..
Sahii wameita nafasi mbili kwaza, bank examiner na accountant then wataendelea nyingine.
Ila wakuu wamechukua very cream, first na upper second ila hata hii gpa considered. Wale wenzangu nammimi wakuu, mmhh... ila tuwe na positive atitude na tuendlee kusubiri
mm nina gpa kubwa karibia na mwisho wa scale za gpa kwa juu kwenye vyuo vikuu, nina uzoefu kwa kufanya kazi bank miaka kama8 ila naona kimya!!!!! wanataka gpa gani iyo?na zaidi uzoefu wa bank ninao, je wamepigia watu wenye sifa za cream gani iyo????
Mi pia upper second niliomva bank examiner hawajaniita labda km wanavigezo vingine,ila fresh
Acha tamaa,tulia kazini..
Aaah essay rahisi sana.
Bank examiner ,hii mbon hawatangz sikuhizmbona mi nina upper second ila cjaitwa...niliomba bank examiner..