Kwa anayehitaji chumba na sebule

Kwa anayehitaji chumba na sebule

Hiyo bei nahusisha na umeme + maji?
Unachukua kodi ya kipindi gani?
Kuna wapangaji wangapi?

kuna wapangaji 2, umeme na maji ni tofauti. wapangaji wanachangishana.
ningependelea kodi ya miezi 12
 
wadau me kuna best yangu anahitaji chumba na sebule mwenye nyumba asiwe anaishi humo humo, isiwe na wapangaji wengi na anataka iwe maeneo ya mabibo/ubungo/magomeni au sehemu yoyte ambayo inakuwa rahisi(gari moja) kufika posta mpya coz ndiko anakotafutia riziki ya kila siku.analalamika madalali wanakula buku tano yake(kama mara nne hivi) then wanampeleka kwenye nyumba ambayo wanajua kwa maelezo yake haimfai.yaani unawaeleza may be nyumba iwe inafikika kwa gari,iwe karibu na barabara, isiwe na wapangaji wengi ect wao wanakupeleka nyumba ya bondeni na hapo barabara ipo may be zaidi ya 1km....just imagine hata hiyo gari ya kushusha mizigo unaiacha 1k unaanza kubeba mzigo mmoja baada ya mwingine hadi uje kumaliza kupakua vyombo vyako vigimbi vitakuwa vimeongezeka na matatizo mengine kibao!!!!!!in short madalali wengi ni wahuni sana.....
 
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali

mkuu bado hiyo nyumba ipo?Nipo interested ila uwezo wangu ni miezi sita.
 
Mimi ninachumba na sebule kipo kimara bucha. Mita 350. Kutoka barabarani kuna maji na umeme.
Mimi ndio mwenye nyumba . Atakayeitaji. Nipigie 0658777859 bei 80 elfu kwa mwezit

Nahitaji hii kitu,
Bado ipo?
 
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali

Bado kipo? Nahitaji,naomba ni pm ya contacts tuongee
 
Ndugu.. mi nipom serious na nahitaji(Lakini vingekuwa viwili na sebule tungeongea..Tafadhali Kama unavyo Nipigie simu..0654674622..
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali
 
kama kuna mwenye chumba na sebule tegeta maeneo ya kibaoni au kwa ndevu naomba ani PM sihitaji dalali tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom