Wewe una uhakika gani Sawabho mura weito?
Tata ndio ofisi yangu hiyo.
Wewe una uhakika gani Sawabho mura weito?
Tata ndio ofisi yangu hiyo.
Hongera Waweito, so mnatarajia kutuita ln?
Unatajajia kweli kujibiwa swali hili hadharani ?
Ha ha una mambo, naomba uni PM ndugu!
Ndugu, sasa nikuPM mimi nina shida gani kwako. Ukishaajiriwa utafahamu adhabu ya kusa la kutoa siri kama hizo.
Mi kuna jamaa yangu yupo mafunzo morogoro,alifanyiwa usail early march,,
Poa ndugu, ngoja dogo aendelee kuvuta subira.
Hongera zake, alipigiwa simu ama na wapo wangap huko Moro?
Una uhakika taarifa alizotoa ni za kweli kulingana na ufahamu wake, maana kama kuna jambo alidanganya, itamcost
Labda nimuulize saiv ila sikuwa interested mana huko sikuwepo kabisa,nikijua nitakujulisha ila we subiri tu labda wanaita kwa awam
Poa, ni wa kozi gani?
Economics
Hyo kozi mbona haimo kwa zile kozi walizotangaza ndugu? Kwan yy yupo kwa nafasi gani?
(Quantity survey, Accountancy, Human Resources Management, Law, Procurement, Journalism, Information Technology, Highways Engineering, Building Constructions, Electrical Engineering, Land Management and Valuation, and Forensic Knowledge).
Taarifa alizotoa wapi?
Ndo nimekwambia mm sikuapply so sikuwa interested kujua process zozote ila jamaa yupo accountancy
Ndugu vp mbona hujasettle mara Economics mara Accountancy, sasa nijue lipi?Ni kweli A/C walifanya Early March usaili, ina maana jamaa wanatumia LIFO katika kuita people? Maana wale wa mwanzoni bado!