PCCB mbona kimya?

PCCB mbona kimya?

Ni kukosa kazi tu, maana katika upekuzi wa taasisi hiyo itaonekana yeye sio mwaminifu. Maisha na kazi katika taasisi nyingie yataendelea kama kawaida.

Poa, Chapa Nyingine anasema kuna jamaa yake kaanza mafunzo Moro, unasemaje kuhusu hilo?
 
Labda nimuulize saiv ila sikuwa interested mana huko sikuwepo kabisa,nikijua nitakujulisha ila we subiri tu labda wanaita kwa awam
Acha utapeli
Ile ni govment agency hata km wakiamua kuita watu kwa awamu lazima wawape taarifa wengine waliofeli usaili kuhusu hatma yao

Usigeuke chanuo kazi zake mbili tuh kuchana nywelee na kusuka nywelee..
 
Jaman pamoja na hayo vp kuhusu nhif matokeo ya interview
 
Acha utapeli
Ile ni govment agency hata km wakiamua kuita watu kwa awamu lazima wawape taarifa wengine waliofeli usaili kuhusu hatma yao

Usigeuke chanuo kazi zake mbili tuh kuchana nywelee na kusuka nywelee..

Sasa mim ndo ajiri boss? Jazba za nin?,,ungenote the word "labda"
 
Habari za jioni wanajamvi.

Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update atusaidie.

Nawasilisha
Majina ya walioitwa kazini haya hapa
 
Attachments

Habari za jioni wanajamvi.

Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update atusaidie.

Nawasilisha
Wameshaita watu kazini angalia hapa majina AJIRA ZETU
 
Back
Top Bottom