Recent content by changu ni changu

  1. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CMA kanda ya Dar es salaam- ofisi ya pale Akiba kuna muamuzi ni hatari sana dhidi ya haki na matendo yake ni ishara ya rushwa imetawala kwake

    Habari wanajamvi wenzangu. Kuna mgogoro wa kazi ulifunguliwa na ndugu yangu CMA kanda ya Dsm. Mwamuzi amefanya vitendo vya makusudi vya upendeleo kwa mwajiri pia anapoteza muda makusudi mwingi ili kumkatisha tamaa mwajiriwa. Anaacha kabisa kuzingatia ushahidi wa wazi wa mwajiriwa halafu eti...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Haja kubwa kuwa cheusi

    Kunapokuwana mada muhimu, uwe inaacha ushenzi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sabuni za Kigoma zinapatikana

    Mpo sehemu gani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    MAkapuku oyeeeee
  5. C

    JamiiForums Tanzania nahitaji mpenzi wa kike anienzig, nimuenzi.

    Wa kwanza au hats wapili Nipe yoyote
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maana ya subsistence allowance

    Ndugu wanaJamvi naomba mnipe ufafanuzi wa kina kuhusu neno subsistence allowance, na ina jumuisha posho gani za kijikimu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuisha kwa Mkataba wa kazi.

    Nikweli Kk. Me niliwaomba hela tu ya usafiri wajazingua. Sasa hivi unaishi hapa bila allowances walanini.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuisha kwa Mkataba wa kazi.

    Habari zenu wanajamii. Wanajamvi Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu, Mimi niliajiriwa na shirika LA wabelgiji waniajiria bukoba. Katikati ya mkataba wakanihamishia mtwara. Nilifika huku nikafanya Kazi miezi miwili mkataba wangu ukaisha tarehe 2 oktoba. Niliwaomba hela ya kunisafirisha Mimi na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sheria za Kazi: Uliza Ujibiwe

    Kiongozi habari za Kazi?. nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30 Septemba. Niliwaomba...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Fedha za nauli ya kulidi nikipoajiriwa na Fedha za kujikimu

    Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kurudi nilipoajiriwa na Fedha ya kujikimu

    Ahsante sana Remmy, je kuna muongozo wowote wa serikali kuhusu nauli za kwa mfanyakazi kwa kilomita kwa tank?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kurudi nilipoajiriwa na Fedha ya kujikimu

    Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Fedha ya kurudi sehemu nilipoajiriwa baada ya Kazi kuisha na kujikum kuondoka

    Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu sheria ya kazi

    Je sheria anatakiwa kupewa hela ya kusafiri au anatafutiwa usafiri na mwajiri?
Back
Top Bottom