Sabuni za Kigoma zinapatikana

A.MTALE

Member
Aug 15, 2012
23
5
ZAINABU SOAPS

KWA MAHITAJI YA SABUNI ZA KIGOMA (MAGADI) kwa wauzaji wa jumla na rejareja.

Carton 1 = miche 20= Tsh 32000/

Nusu carton = miche 10 =.Tsh 16000/=

urefu wa Sabuni ni sentimita 37, upana sentimita 5 na kimo ni sentimita 3.

POPOTE TUNAAGIZA KWA HAPA DAR ES SALAAM

tuwasiliane kwa namba 0766149009 au
0628320439

Ni Sabuni nzuri kwa matumizi yafuatayo

1. KUOGEA
2. KUFULIA
3. KUOSHEA VYOMBO, inang'arisha vyombo

KWA MATUMIZI YA NYUMBANI, HOSPITALINI, SHULENI, MGAHAWANI, HOTELINI na NYUMBA ZA KULALA WAGENI.

Zina povu la kutosha ni imara na zina dumu kwa muda mrefu.

karibu Sana na tutakuagizia popote ulipo Kwa jijini Dar es salaam.

af23a9a21e48772e2127462f023435f8.jpg


2b92d552fc227ba2221e3ab94ddcf821.jpg
 
Back
Top Bottom