Tatizo la Haja kubwa kuwa cheusi

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,347
Wataalam naomba mnisaidie.

Kuna ndugu yangu amegundulika na tatizo la Amoebiasis akaandikiwa Flagyl akaanza kutumia.

Siku ya pili akaanza kusikia tumbo linavuruga huku anajisaidia choo chenye rangi nyeusi, ni siku ya pili sasa.

Msaada tafadhali.
 
damu inavujia,blackstool kama hujala kitu cha kufanya iwe hivyo maanake ni blood in the stool.
 
Siku zote kila dawa ina side effect zake, mimi ilishawahi kunikuta tena la kwangu bado kidogo nipige kelele chooni maana kimba lilitoka likiwa gumu mno ukubwa kama muhogo mpana halafu nyeusi liliishia katikati maana hata nguvu za kusukuma niilishiwa nilijiona mkiwa ndani ya choo. Lakini nilijitahidi kula sana matunda na kunywa maji kwa wingi sana hadi nikarudi katika hali ya kawaida. Kwanza kabla ya kunywa hizo flajili nilikuwa naendesha vibaya mno baada ya kuzinywa kuharisha kukakata nikajiona nimepata tiba kumbe nimekaribisha tatizo lingine
 
Wataalam naomba mnisaidie.

Kuna ndugu yangu amegundulika na tatizo la Amoebiasis akaandikiwa Flagyl akaanza kutumia.

Siku ya pili akaanza kusikia tumbo linavuruga huku anajisaidia choo chenye rangi nyeusi, ni siku ya pili sasa.

Msaada tafadhali.

Mmmmmmmh Ngoja Tuwapishe Wenzie Wanaokunya Hayo Mavi Meusi Na Sisi Tunaokunya Mavi Yetu Meupe Na Ya Kijani Tuchanje Tu Mbuga.
 
Naona Watu baadhi Wanajibu majibu ya dharau tu humu...

Sababu kubw za Choo Cheusi ni hizi

Amoeba infection kwenye Utumbo Mdogo.... ambao hupelekea kuvunja kwa Damu na Ile damu ikiwa Digested na Enzymes wa Utumbo mdogo Inakuwa Black inachanganyikana na Choo kikubwa

2. Madond ya Tumbo pia.. Ukuta wa Tumbo ukibleed then damu Ikwa Digested unatoa choo cheusi

Kwahiyo Nakushauri Ukapime Pia NA Madonda ya Tumbo pia maana Unaweza Ukawa na Amoeba na Matonda pia
 
mkuu asante kwa ushauri, ivi inawezekana kuwe na infection zenye kusababisha bleed ndani ya utumbo kusiwe na maumivu yoyote ya tumbo? zaidi ni tumbo kuvuruga tu. kuhusu vidonda vya tumbo ni kwamba hana historia ya kuwa navyo
 
Naona Watu baadhi Wanajibu majibu ya dharau tu humu...

Sababu kubw za Choo Cheusi ni hizi

Amoeba infection kwenye Utumbo Mdogo.... ambao hupelekea kuvunja kwa Damu na Ile damu ikiwa Digested na Enzymes wa Utumbo mdogo Inakuwa Black inachanganyikana na Choo kikubwa

2. Madond ya Tumbo pia.. Ukuta wa Tumbo ukibleed then damu Ikwa Digested unatoa choo cheusi

Kwahiyo Nakushauri Ukapime Pia NA Madonda ya Tumbo pia maana Unaweza Ukawa na Amoeba na Matonda pia
Umeongea point mkuu....!!

Ila japo ungetoa ushauri kuhusiana na hili tatizo jinsi ya kuepuka nalo.

Ungeshauri vp .....???

Tupe nondo.........
 
Back
Top Bottom