Recent content by changetrigger

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na wananchi wa Kanda ya Ziwa

    Sawa, lakini kumbuka aliyelala akiamka utakitema ulichowahi kukila. na sasa tayari aliyelala keshaamka! hebu vuta kumbukumbu uchaguzi wa mkuu 2010 mwanza na shinyanga mjini. ambapo ilikuwa ni mikoa pekee tanzania iliyotazamwa kama mfano wa kuigwa, hasa kwa chaguzi zinazofuta. hebu angalia...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    huo ndo ukweli mkuu... ni sawa na ukimwi. ukimwi haumwui mtu, isipokuwa magonjwa nyemelezi baada ya mwili kukosa kinga.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Polisi Waua tena Mwananchi!

    Unataka polisi wachukiwe mara ngapi na wananchi? kwani sasa wananchi wanafaidika nn kwa polisi kuua raia badala ya kuhakikisha usalama wao na mali zao? polisi waliotokomea na fuko la milioni mia mbili baada ya kufanikiwa kuwapokonya majambazi kule kariakoo juz juz nao ni walinda usalama wa raia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Kisaikolojia, mtu akizoea kukudanganya,kisaikolojia ukajenga dhana kuwa huyo mtu ni mwongo,hutamwamini kwa jambo lolote. hata akisema ukweli hutamwamini. ccm walivyo wajinga hawajui kuwa si tu kisaikojia wanawajengea watanzania usugu wa kutoamini jambo lolote watalosema. bali pia wanasaidia...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    Magamba anzeni kutia maji.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    Hata mwanamke ukimchokonoa sehemu ukaona analalamika sana, basi kazia hapo hapo!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    Mbuma nyingine hii hapa!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    Acha kuongua kama huna kichwa kiongozi. mbona unakuwa na mawazo ya kuku yaliyo changanyika na ya fisi kama ya maccm!?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa, Mnyika, Lema matatani

    nyie bwekeni tu. ila mkiwagusa ndo mtajua kuwa hii nchi wenyewe wapo hai. kama hatutawanyotoa matumbo yenu kabla hata ya 2015.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili kuondokana na utegemezi wa wahisani?

    hakuna zaidi ya kuthubutu kujitegemea tu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza amlipua Mbowe

    uongozi si elimu. uongozi ni ndoto, dhamira, imani, malengo, mikakati na mipango mizuri, na kutumia wataalam waliopo kuifanikisha ndoto.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    pengine nape mwenye elimu ya chuo kikuu hata kujisomea huwa hajisomei. make angekuwa anachungulia vitabu hata kidogo,hangekosa kukutana na habari za kina henry ford,thomas edson, faraday n.k, ambao wengi wao hata darasa la saba hawakulimaliza. lakini ndo walioiweka dunia katika ramani ya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    kwa hyo unatushauri tukate tamaa au? pamoja na madudu, kuacha kufuatilia bungu hakutatatua matatizo yaliyopo. kutatua tatizo si kulikimbia au kulipuuza. bali ni kupambana nalo. kutokutendeka kwa haki bungeni tunajokuona bungeni tunapofuatilia kunaamusha ari au hasira ya kupambana na tatizo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    kama mpumbavu mmoja anasema suala la kuchinja liachiwe waislamu, kana kwamba hata kiti-moto watatuchinjia waislamu. kilaza mkubwa, kazi kusinzia bugeni tu haya magamba! na yakitoka usingizini yanakuja na ideas za kuku. shenzi sana!
Back
Top Bottom