Yaani Katika mawaziri wasiowajali walimu Kawambwa ni nambari one. Wakati wa mgomo wa walimu alikuwa anatoa kauli za majigambo na vitisho kwa walimu. Sasa mbona ameshindwa kutangaza kazi halisi ya walimu waliyomfanyia kutokana na ujira anaowalipa?
Wanaowabeza walimu wasubiri hayo matokeo yanayompa Kawambwa kigugumizi cha kuyatangaza ndipo watajua faida za kubeza walimu.
Hata hivyo kupanga ni kuchagua, kama tunaona elimu yetu iwe ya watu wanaomaliza D7 bila kujua KKK basi tuendelee kuwadharau walimu
kwa nguvu zetu zote ili tuendelee...
Hivi huyu Kawambwa anataka mpaka watu waingie barabarani ndiyo atangaze matokeo.
JK una kazi maana wateule wako hawakusaidii, hata kutangaza matokeo ni tatizo?????
Akome na kiherehere chake cha kwenda kwenye vyombo vya habari kila siku. Acha aendelee kuthibitisha kuwa anatumia vyeti vya kuiba. Nadhani. anamshangaa JK kwa nini hajamtimua hadi leo hii
Aliyoyasema kwenye kipindi cha ITV yanaonesha jinsi gani alivyokuwa wa kwanza kwenye darasa la vilaza na ndiyo maana yeye ndiye kilaza pekee aliyefauku. Ha ha ha ha ha.
Kipindi cha Dak 45 kimetoa nuru yoyote kuhusu jitihada za wizara katika kuboresha mazingira ya shule au kimefanikisha kuthibitisha ulilaza wa huyu jamaa anayetumia vyeti vya watu wengine. Kweli nimeamini Tanzania ni muunganiko wa Zimbabwe na Pemba na siyo "sleep" of tongue
Nimesikiliza Kipindi cha Dak 45 ITV naibu Waziri one 1964 alikuwa anaongea pumba tupu. Eti watu wampugie sime kama kuna shule ambayo haijasajiliwa, hivi hiyo ndiyo kazi ya Waziri? atapokea simu ngapi? Kwa nini yeye kama naibu waziri asiletemikakati ya wizara hiyo nyeti kuliko hata nyeti zenyewe...
Huyu jamaa ni mwongo sana anasema kuwa sifa za kidato cha sita ni kitu kipya wakati wizara ilitoa waraka mwaka 2010 na ndiyo uliotumika mwaka 2011 kuchagua wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 waliangalia sifa hizo sasa inashangaza leo hii wizara inakana kuwa haina habari wakati kuna wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.