You have said it all hun.
Lazima uonekane una conflict of interest simply sababu ukweli wanaujua na hawapendi kuusikia. You can't be that cold afu upritend you are happy. Huwezi kufurahia maisha ambayo ndani ya nafsi yako ukijitafakari unajiona mjinga. Wakati mwingine tuupende ukweli maana...
Yaani it's either of two:Samehe mke wako mrudiane if only inawezekana lkn.au tafuta mpenzi mwingine uanze upya lakini si huyo unayesema ye na mkeo walikua marafiki walioshibana kama ndugu. Huyo unaemwona mwema could be possibly dangerous than your wife usinulize kwanini. Ila...
Yaani mi nimesoma nikasikia hasira . Na imagine muhusika ana hali gani.
Kiukweli mwenye thread u r such a wicked man n selfish I would ever heard mwee!Kuna mambo mnafanya hadi shetani anasema woow!
1.Una mke na familia lkn kwa ubinafsi wako kumrubuni binti ukafukuzia na mchumba...
Wanawake sisi......!Mungu atuhurumie kwa kweli. Unakuta mtu anafanya juu chini avuruge ndoa ya mtu. Au anafahamu kabisa mtu ana mtoto basi mtoto ataonyeshwa mapenzi yote atapelekwa beach, atafanyiwa shopping. Jamaa anaona dah mke huyuapa Mungu kaniletea anapenda...
Hivi huu upendo uliopitiliza kiasi hiki mmeutoa wapi? Why are you so concerned na maisha magumu kama mnavyodai ya hao so called "wabeba box" kuliko hata mama na baba zenu wasiokua na maji safi wala umeme vijijini huko? Hebu acheni hizo!
Kiukweli mmenibariki sana. Namshukuru aliyeanzisha thread hii na mliochangia pia. Ishmael Ubarikiwe mno na endelea kumtumikia Mungu na wote mliosaidia kimawazo . Nawashukuru mno.
Ukinisoma vizuri na ukisoma ulichoandika ni kwamba wote tunakubali kuwa huyo jamaa kweli ni mtu wa totoz na AL alilijua hili swali ni kwanini ukubali kuwa katikati ya hili tatizo. Kwani asingetoa hiyo namba nini kingepungua.
Huo ulokole uko wapi kama mtu...
Alafu mtoa thread hakuna jinsi unaweza kuepuka lawama kwenye hili. Kwanini utoe namba ya rafiki yako kwa mtu ambae unajua tabia zake after all wote unawajua tabia zao.
Na wewe unasema unasali kiroho utampaje namba mume wa mtu tena unaejua ana tabia mbaya...
Elli umeuliza maswali ya msingi sana.
Mimi pia nina wasiwasi na uhusiano ulioko kati ya AL na so called mtumishi.Alafu mtanisamehe kwa uzoefu nilio nao sasa hivi na hawa watumishi Kiukweli nitabakia hapa kwenye dhehebu nililolikuta wazazi wakiabudu nitajifunza...
Huwa sipendi kabisa kujudge wengine. Ila nakubaliana na wewe kwa asilimia mia. Na mwenye thread hii pls double check ndio uje na thread kama hii vinginevyo hiki ni kichekesho. Kiukweli wanafundishwa kula vizuri(organic) lakini wengi hawafwati sasa usitake kujua mengine wanayofanya lakini kwa...
Mmh!Baadhi ya wanaume ni vichomi hunitaki si uniache tu. Unatengeneza strori tena ya ya kunitengenezea uhasama na mtu mwingine ambae nishamsahau ili iweje? Kuna kisa kiliwahi kunitokea cha staili hii japo tofauti kidogo.
Ukimchoka mtu na huna sababu ya msingi mwambie tu kuliko kupika hadithi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.