Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Ishi maisha yako wewe, waache wengine waishi maisha yao.

Wengine bongo wamekimbia maisha ya kuendekeza umbeaumbea kama huu uliouanzisha hapa.

Sasa mtu kama huyo hata ukimpa kazi ya mshahara mzuri kama hajaridhika na maisha ya bongo ytamtia unyonge tu.
 
Hivi huu upendo uliopitiliza kiasi hiki mmeutoa wapi? Why are you so concerned na maisha magumu kama mnavyodai ya hao so called "wabeba box" kuliko hata mama na baba zenu wasiokua na maji safi wala umeme vijijini huko? Hebu acheni hizo!
 
Ni kukosa shughuli na kuendekeza ujima tu.
 
Ha ha ha ha, wanatishia kuchanganya kizungu na kijerumani ili kutushtua kuo wako mbaaaaaaaaali, kumbe wote sawa tu, kwa taarifa yake ukienda kwetu moshi mapota wanapandisha milima wazungu wanakiongea kuliko hata wazungu wenyewe LOL!
haha! unanikumbusha kuna beach boy mmoja hapa zenji anaongea dialects kama tano za kitaliano na spanish zaidi ya dialect 2,wahusika wakimwona huchanganyikiwa kwa huyo dogo! kuna mama mmoja mtaliano sasa kampa ajira rasmi kama head guide wa wageni wake !
 
Back
Top Bottom